-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuharibika kwa hali ya kibinadamu Libya
Apr 29, 2019 09:28Naibu Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameelezea wasiwasi wake kuhusiana na kuendelea kuharibika kwa hali ya nchi hiyo na kusema kuwa huenda hali ya kibinadamu katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, ikaharibika zaidi.
-
Malalamiko ya pamoja ya nchi za dunia dhidi ya siasa za vikwazo za Marekani
Apr 17, 2019 01:45Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kibeberu, hivi sasa Washington imeongeza kasi kubwa ya kuziwekea vikwazo vya kiholela nchi mbalimbali duniani.
-
Mjumbe wa UN Libya: Harakati za Khalifa Haftar ni za kimapinduzi
Apr 16, 2019 09:48Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema mienendo na harakati zinazofanywa na Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake ni za kimapinduzi na wala hazifanani na harakati za kupambana na ugaidi kama anavyodai yeye.
-
Iran kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika anga za mbali
Apr 13, 2019 22:03Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano nchini Iran Mohammad-Javad Azari Jahromi amekutana na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya Anga za Mbali UNOOSA Simonetta Di Pippo ambapo wamejadili masuala mbali mbali ikiw ani pamoja na njia za kukabiuliana na maafa ya kimaumbile na ushirikino katika suala la anga za mbali.
-
Jeshi la Sudan lasema halitamkabidhi Omar al-Bashir kwa ICC
Apr 12, 2019 20:46Baraza la Kijeshi la Mpito linaloshikilia hatamu za uongozi nchini Sudan limepuuzilia mbali mwito wa kumkabidhi Omar al-Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, likisisitiza kuwa yumkini rais huyo aliyeng'olewa madarakani akafunguliwa mashitaka nchini humo.
-
UN: Watu 56 wameuawa katika mapigano yanayoendelea Libya
Apr 11, 2019 09:28Umoja wa Mataifa umesema mapigano kati ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa na vile vinavyoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar nchini Libya yamesababisha watu 56 kupoteza maisha kufikia sasa.
-
Guterres: Kuna haja ya kuunganishwa taasisi za Libya kabla ya uchaguzi
Apr 04, 2019 03:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitembelea Libya siku chache kabla ya kufanyika kongamano la kitaifa la kuandaa mazingira ya kufanyika uchaguzi nchini humo.
-
UN yataka misaada ya kibinadamu iondolewe katika vikwazo dhidi ya Iran
Apr 03, 2019 10:25Mkuu wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kueleza kusikitishwa kwake na taathira hasi za mafuriko yaliyoua makumi ya watu nchini Iran, ametoa mwito wa kuondolewa misaada ya kibinadamu katika orodha ya vikwazo dhidi ya taifa hili.
-
Rais Michel Aoun: Umoja wa Mataifa ukatazeni utawala wa Kizayuni uache kuichokoza Lebanon
Mar 31, 2019 22:24Rais Michel Aoun wa Lebanon ameutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kivitendo kukomesha uchokozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa kukiuka mipaka ya angani na majini ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Guterres ataka kuharakishwa utekelezwaji wa makubaliano ya amani CAR
Mar 24, 2019 03:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa pande zote husika kutekeleza kwa haraka mapatano ya amani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati yaliyotiwa saini katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui, siku moja baada ya kuundwa serikali mpya inayoyajumuisha makundi ya wabeba silaha.