-
UN: DRC inahitaji dola bilioni 1.6 kwa ajili ya misaada ya kibinadamu
Mar 21, 2019 20:47Umoja wa Mataifa umesema unahitaji msaada wa dola bilioni 1.65 za Marekani kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya msingi na ya kibinadamu ya watu milioni 9 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walioathiriwa na mapigano.
-
UN na EU zaalikwa mkutano wa OIC wa kujadili chuki dhidi ya Uislamu
Mar 21, 2019 11:27Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano wa Ulaya zimealikwa kushiriki kikao cha dharura cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kitakachofanyika mjini Istanbul huko Uturuki kesho Ijumaa.
-
Guterres: Kuna udharura wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu duniani
Mar 16, 2019 01:15Katibu MKuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kulaani mashambulio ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya misikiti miwili katika mji wa Christchurch nchini New Zealand jana Ijumaa na kuua makumi ya watu, ametoa mwito wa kuundwa mikakati ya kupambana na chuki dhidi Uislamu zinazoenea kwa kasi katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI
Mar 14, 2019 12:26Serikali ya Burundi imekosoa vikali ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, iliyobaini kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
-
UN: Kimbunga na mafuriko yameua watu 10 Msumbiji
Mar 12, 2019 04:10Kwa akali watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Msumbiji.
-
UN yatafakari kupunguza askari wake wa kulinda amani DRC
Mar 08, 2019 00:06Huenda idadi ya askari wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO ikapunguzwa.
-
UN yaiokosoa Israel kwa kupinga ripoti ya mauaji ya Wapalestina Gaza
Mar 06, 2019 23:23Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Israel kupinga ripoti ya wataalamu wa umoja huo kuhusu mauaji ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yaliyofanywa na askari katili wa utawala huo haramu.
-
Muhammad Abdul-Salam: Kimya cha Umoja wa Mataifa kinawapa jeuri zaidi wavamizi wa Yemen
Mar 02, 2019 12:22Mkuu wa ujumbe wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye mazungumzo ya amani amesema kuwa, kimya cha Umoja wa Mataifa kimekuwa kikiupa jeuri zaidi muungano vamizi dhidi ya Yemen na kuushajiisha kutenda jinai zaidi.
-
Antonio Guterres: Haki za Binadamu ulimwenguni zimo katika hali ya kutoweka
Feb 25, 2019 12:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonyesha kuchukizwa na suala la kuongezeka chuki dhidi ya wahajiri, ubaguzi na kupungua kiwango cha watu kustahamiliana.
-
Venezuela yatoa mwito wa kuungwa mkono na UN kukabiliana na "Hujuma ya Kijeshi"
Feb 21, 2019 21:39Ofisi ya uwakilishi ya Venezuela katika Umoja wa Mataifa imewaalika mabalozi wa nchi 46 wanacjama kushiriki kikao ambacho lengo lake ni kuutaka umoja huo utimize wajibu wake wa kupinga vitisho vya uanzishaji "hujuma ya kijeshi".