Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI
Mar 14, 2019 12:26 UTC
Serikali ya Burundi imekosoa vikali ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, iliyobaini kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
Waziri anaye husika na haki za binaadamu Martin Nivyabandi akijibu yaliyomo katika ripoti hiyo amesema taasisi hiyo ya UN inakusudia kuwachafua viongozi wa Burundi.
Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ana maelezo zaidi…..
Tags