-
Rais Raisi: Mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana
Sep 08, 2021 22:47Rais Ebrahim Raisi amesema, mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuchungwa na kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana baina ya pande mbili.
-
Borrell: Afghanistan imedhihirisha mapungufu ya Umoja wa Ulaya
Sep 06, 2021 20:53Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa Afghanistan kwa kiasi kikubwa imeonyesha kuwa, mapungufu na kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua hatua kimataifa kuna gharama zake.
-
Mgogoro wa corona na kushadidi mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya (EU)
Sep 02, 2021 22:00Mielekeo na fikra za kutaka kujitenga zimeongezeka na kupata nguvu zaidi barani Ulaya kutokana na kuongezeka migogoro ya kijamii katika nchi za bara hilo.
-
Umoja wa Ulaya waendelea kuingilia masuala ya ndani ya Afghanistan
Aug 16, 2021 22:04Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameingilia tena masuala ya ndani ya Afghanistan sambamba na kufumbia jicho jinai zilizofanywa na Marekani na waitifaki wake wa Ulaya nchini Afghanistan.
-
Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho
Aug 05, 2021 21:54Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia ametoa wito wa kuitishwa kikao maalumu cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa wakimbizi na kugawana wakimbizi hao baina ya nchi za Ulaya kwa uadilifu.
-
Kongresi ya Marekani yaishinikiza EU iitambue Hizbullah kama kundi la kigaidi
Jul 28, 2021 02:47Kundi moja la wawakilishi wa vyama viwili vya Republican na Democratic katika Kongeresi ya Marekani limetoa wito wa kushinikizwa Umoja wa Ulaya ili uitambua harakati yote ya Hizbullah kuwa ni "kundi la kigaidi".
-
Ethiopia yauonya Umoja wa Ulaya; yautaka usipendelee upande wowote katika mzozo wa Bwawa la al-Nahdha
Jul 21, 2021 07:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ethiopia amesema kuwa, nchi yake inapinga upatanishi wa aina yoyote wa Bwawa la al-Nahdha ambao upo nje ya fremu ya Umoja wa Afrika na kuuonya Umoja wa Ulaya kwamba, usipendelee upande wowote katika mzozo huo.
-
Umoja wa Ulaya: Kashfa ya ujasusi unaofanywa na Israel haikubaliki kabisa
Jul 19, 2021 21:51Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa, kashfa ya hivi karibuni ya ujasusi uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel inakinzana na sheria zote za Umoja wa Ulaya.
-
Merkel: Ulaya huru inapaswa kupunguza mivutano kati yake na Russia
Jun 26, 2021 02:46Kansela wa Ujerumani amesema kuwa, Umoja wa Ulaya wenye nguvu za kiutawala na uhuru, unabidi ulinde manufaa ya nchi za bara hilo na ufanye mazungumzo na Russia kama yale yaliyofanyika baina ya rais wa Marekani, Joe Biden na Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
EU kuiondolea Burundi vikwazo, mchakato umeanza
Jun 22, 2021 21:56Umoja wa Ulaya umeanzisha mchakato wa kuiondolea Burundi vikwazo ambavyo vilifunga kabisa mlango wa kupewa misaada serikali ya Bujumbura.