-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus
Oct 14, 2020 03:00Ikiwa ni muendelezo wa uingiliaji wa nchi za Magharibi wa masuala ya ndani ya mataifa mengine, sasa hivi Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kutekeleza kivitendo vikwazo dhidi ya Russia na Belarus.
-
Borell akiri udharura wa Iran kunufaika na mkataba wa JCPOA
Oct 09, 2020 03:43Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ambayo inajumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA, lakini baada ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo, pande hizo zimekuwa na utendaji mbaya usioweza kutetewa kutokana na kuwa zimeshindwa kuyalinda na pia kutotekeleza ahadi zao, na hasa kuhusu kutofanikisha mfumo wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara unaojulikana kama Instex.
-
EU yaishurutisha Palestina kulipa kodi kwa Israel ili iendelee kuisaidia kifedha
Oct 08, 2020 10:35Umoja wa Ulaya umesema utaipatia Palestina msaada wa fedha kwa sharti la kulipa kodi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hatua za kisheria za Umoja wa Ulaya dhidi ya Uingereza kuhusu Brexit
Oct 03, 2020 01:10Kadhia ya Brexit, yaani mchakato wa Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, ni changamoto kubwa zaidi ya nchi hiyo baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Pamoja na kuwa kumeshatiwa saini mapatano baina ya Uingereza na Umoja wa Ulaya lakini serikali ya chama cha kihafidhina yaani Conservative ya Waziri Mkuu Boris Johnson haijakubali baadhi ya vipengee vya mapatano hayo na imepitisha muswada wa kutaka vifanyiwe marekebisho.
-
Madai ya Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran; hayana uhalali wowote wa kisheria
Sep 29, 2020 08:49Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeyataja madai yasiyo na msingi ya nchi za Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria.
-
Taarifa ya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; mwendelezo wa misimamo ya kindumakuwili kuhusu haki za binadamu
Sep 26, 2020 06:50Nchi za Magharibi zimekariri tena madai yao ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Iran wakati idadi kubwa ya nchi hizo, kama Ufaransa na Uingereza, zimewekwa kwenye orodha ya wakiukaji wa haki hizo za binadamu.
-
Kupasishwa muswada wa kuitia mkono Brexit katika Bunge la Uingereza na kiza kinene mbele ya uhusiano wa London na Brussels
Sep 16, 2020 08:20Hatua ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit na sasa kuzusha mambo mapya, kunazidi kuingiza utata utekelezaji wa jambo hilo siku baada ya siku. Hivi sasa London imezusha mzozo mpya juu ya utekelezaji wa Brexit na kusababisha mgogoro mkubwa baina yake na Umoja wa Ulaya.
-
EU yatahadharisha: Kuna hatari kubwa ya kutokea vita na mapigano mashariki ya Mediterania
Sep 15, 2020 22:08Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametahadharisha kuwa, kuna hatari kubwa ya kutokea vita na mapigano katika eneo la mashariki ya Mediterania.
-
Onyo la Johnson kwa Umoja wa Ulaya kuhusu hatari ya kutoweka umoja wa Uingereza
Sep 14, 2020 01:45Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya ambalo lilianza kutekelezwa tarehe 31 Januari 2020 limekumbwa na malalamiko mengi katika maeneo yanayopigania kujitenga na nchi hiyo ya Ulaya yakiwemo ya Scotland na Ireland Kaskazini.
-
Mchakato wa kuwapokonya silaha waasi wa FRPI huko DRC wakwama
Sep 12, 2020 21:53Wakazi wa mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameendelea kuwa na wasiwasi na hali inayojiri katika mkoa huo, baada ya kukwama kwa mchakato wa kuwarejesha waasi wa FRPI katika maisha ya kiraia.