-
Mashirika 110 ya Ulaya yako tayari kushirikiana na Iran katika sekta ya mafuta
Oct 20, 2018 23:06Mkuu wa Jumuiya ya Watengenezaji wa Vifaa vya Sekta ya Mafuta nchini Iran amesema kuwa, mashirika 110 ya Ulaya yametangaza kwamba yako tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya mafuta.
-
Uungaji mkono wa wakuu wa nchi za Asia na Ulaya kwa makubaliano ya JCPOA
Oct 20, 2018 08:31Japokuwa Marekani ni miongoni mwa nchi sita ambazo zilifikia makubaliano ya nyuklia na Iran katika kalibu ya nchi zinazounda kundi la 5+1 mwezi Januari mwaka 2015 lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo ameonekana akichukua msimamo wa kuyapinga makubaliano hayo; huku akiyataja kuwa ni makubaliano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
Nchi za Ulaya na Asia zataka kuondolewa vikwazo Iran
Oct 20, 2018 04:34Nchi za Ulaya na Asia sanjari na kutangaza utayarifu wao wa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Iran, zimesema kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ni sehemu muhimu ya mapatano hayo ya kimataifa yanayofahamika kama JCPOA.
-
Kukwama Umoja wa Ulaya katika suala la kujitoa Uingereza kwenye umoja huo
Oct 19, 2018 09:54Tukio muhimu kabisa lililotokea nchini Uingereza katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kuleta taathira kubwa za ndani, za kieneo na za kimataifa ni hatua yake ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit.
-
Onyo la Kamisheni ya Ulaya la kujibu hatua za kiuadui za kibiashara za Marekani
Oct 17, 2018 23:43Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kuzipandishia ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia nchini humo. Hatua hiyo inahesabiwa kuwa ni kutangaza vita rasmi vya kiuchumi na madola mengi yenye nguvu za kiuchumi ulimwenguni.
-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 11, 2018 23:11Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Takwa la Ujerumani la kuasisiwa Baraza la Usalama la Umoja wa Ulaya
Oct 10, 2018 04:29Kuibuka hitilafu na mizozo mikubwa baina ya Marekani na Umoja wa Ulaya baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump hususan katika masuala ya kiulinzi, nafasi na umuhimu wa Shirika la Kijeshi la NATO sambamba na kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brics) ni mambo ambayo yamezifanya nchi wanachama wa EU zichukue hatua za kuimarisha mipango na mikakati ya kujitegemea katika uga wa ulinzi na usalama.
-
JCPOA, fursa kwa ajili ya kujitegemea kifedha Ulaya
Oct 06, 2018 22:56Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akikosoa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo na Marekani yenyewe na kuyatataja makubaliano hayo kuwa ndiyo mabaya zaidi kuwahi kufikiwa.
-
EU kutuma timu ya kuchunguza mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Myanmar
Oct 06, 2018 04:15Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, utatuma timu ya kuchunguza mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na kuchukua maamuzi ya mwisho ya kuiwekea vikwazo nchi hiyo.
-
EU yasisitizia udharura wa Saudia kuwekewa vikwazo vya silaha
Oct 05, 2018 12:00Wabunge wa Umoja wa Ulaya wamepiga kura kwa kishindo kuunga mkono azimio linalotaka kuwekewa vikwazo vya silaha Saudi Arabia, inayoongoza katika mauaji na hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen.