Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jul 04, 2018 02:53

    Maya Kuchiánchik, Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitizia azma ya Brussels kwa ajili ya kutekeleza kikamilifu na kwa namna chanya, makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa

    Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa

    Jul 03, 2018 02:49

    Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo

  • Umoja wa Ulaya wasisitiza kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran

    Umoja wa Ulaya wasisitiza kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran

    Jul 03, 2018 00:08

    Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amesisitzia kuwa umoja huo unataka mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana rasmi kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji,JCPOA, yatekelezwe kikamilifu.

  • Jenerali Khalifa Haftari aonya kuhusu kuweko majeshi ya kigeni Libya

    Jenerali Khalifa Haftari aonya kuhusu kuweko majeshi ya kigeni Libya

    Jun 30, 2018 03:11

    Jenerali Khalifa Haftari, kamanda wa kikosi kinachojulikana kama Jeshi la Taifa la Libya ameonya kuhusiana na kuweko kwa vikosi vya kigeni kusini mwa nchi hiyo kwa kisingizio cha kupambana na uhajiri haramu.

  • Nchi za kaskazini mwa Afrika zagoma kuwapokea wahajiri wa Kiafrika

    Nchi za kaskazini mwa Afrika zagoma kuwapokea wahajiri wa Kiafrika

    Jun 30, 2018 03:01

    Nchi tano za kaskazini mwa Afrika zimekataa mapendekezo ya viongozi wa Ulaya ya kuanzisha kambi maalumu za wahajiri katika ardhi za nchi hizo kwa ajili ya kuwapokea wahajiri wa Kiafrika.

  • Mogherini: EU imekipigia kura ya ndio kifurushi cha kuiunga mkono Iran kuhusiana na JCPOA

    Mogherini: EU imekipigia kura ya ndio kifurushi cha kuiunga mkono Iran kuhusiana na JCPOA

    Jun 29, 2018 23:55

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini amesema kuwa umoja huo umekipigia kura 28 za ndio kifurushi cha kuiunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Kutowezekana kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Yemen kwa mtutu wa bunduki

    Kutowezekana kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Yemen kwa mtutu wa bunduki

    Jun 27, 2018 22:06

    Baraza la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya limesisitiza kuwa, mgogoro wa Yemen hauwezi kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kijeshi na kwamba, ufumbuzi pekee ni kupatikana amani ya kudumu kupitia njia ya mazungumzo.

  • Austria yataka kutumwa Afrika askari wa EU kuzuia wimbi la wahajiri

    Austria yataka kutumwa Afrika askari wa EU kuzuia wimbi la wahajiri

    Jun 24, 2018 03:09

    Waziri wa Ulinzi wa Austria, Mario Kunasek ametoa mwito wa kutumwa askari wa Gadi ya Mpakani ya Umoja wa Ulaya katika nchi za Afrika 'zinazoafiki pendekezo hilo' ili kukabiliana na wimbi la wahajiri kutoka nchi hizo kueleke Ulaya.

  • EU kutoa jibu kali kwa Marekani katika vita vya ushuru wa forodha

    EU kutoa jibu kali kwa Marekani katika vita vya ushuru wa forodha

    Jun 21, 2018 02:24

    Mkurugenzi Mkuu wa Biashara katika Kamisheni ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo utatoa jibu kali kwa Marekani katika vita ya ushuru wa forodha.

  • Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Jun 10, 2018 05:47

    Matokeo machungu ya siasa za Magharibi za kuunga mkono makundi ya kigaidi hususan katika eneo la Mashariki ya Kati, yameanza kuonekana pole pole hivi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS