Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Ahadi za misaada ya Ulaya kwa bara la Afrika

    Ahadi za misaada ya Ulaya kwa bara la Afrika

    Feb 24, 2018 08:51

    Mkutano wa Kimataifa wa kulisaidia eneo la Sahel barani Afrika umefanyika huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji ukihudhuriwa na wakuu wa zaidi ya nchi 30 za Ulaya na Kiafrika kwa kusomwa ujumbe wa Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

  • EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    Feb 23, 2018 04:05

    Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Bahrain imuachie huru Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini humo, ambaye siku ya Jumatano alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na kutoa jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo na utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia.

  • Hofu ya kumiminika magaidi Ulaya yaishajiisha EU izidi kuisaidia kifedha Afrika kupambana na ugaidi

    Hofu ya kumiminika magaidi Ulaya yaishajiisha EU izidi kuisaidia kifedha Afrika kupambana na ugaidi

    Feb 22, 2018 10:56

    Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuwa utazidisha kiwango cha ushiriki wake kifedha katika kupambana na ugaidi kwenye eneo la Sahel barani Afrika kutokana na hofu ya kurejea magaidi barani Ulaya.

  • Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Israel yabomoa shule za EU huko Palestina inyaokaliwa kwa mabavu

    Feb 09, 2018 11:00

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, Wapalestina na Mabedui wanaoishi katika kitongoji cha Area C katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina wapo katika hatari ya kufurushwa kwenye makazi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 09, 2018 00:00

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Umoja wa Ulaya (EU) zimetetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1.

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya la kupatiwa suluhisho mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Feb 01, 2018 07:50

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema suluhisho la kuundwa nchi mbili kwa ajili ya mgogoro wa Mashariki ya Kati halina chaguo jengine mbadala la kisiasa lenye itibari na la kudumu.

  • Boroujerdi: Hizbullah imechangia pakubwa kusambaratishwa ISIS

    Boroujerdi: Hizbullah imechangia pakubwa kusambaratishwa ISIS

    Jan 26, 2018 04:17

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mchango mkubwa sana katika jitihada za kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).

  • Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Jan 26, 2018 00:29

    Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema mbele ya Baraza la Kimataifa la Uchumi mjini Davos Uswisi kwamba nchi za Ulaya zinapaswa kubadilisha siasa zao za kuitegemea Marekani katika masuala ya ndani na nje ya bara hilo.

  • Mogherini:  Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA

    Mogherini: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 11, 2018 12:56

    Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo umeamua kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA.

  • EU kufanya mkutano wa dharura wa wafadhili wa Palestina

    EU kufanya mkutano wa dharura wa wafadhili wa Palestina

    Jan 11, 2018 04:21

    Umoja wa Ulaya na Norway zinatazamiwa kufanya kikao cha dharura cha nchi wafadhili wa Palestina karibuni hivi, baada ya Marekani kutishia kuikatia misaada taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshuughulikia wakimbizi wa Kipalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS