-
EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya
Jul 03, 2017 10:48Umoja wa Ulaya umeonya kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya na kusema kuwa, umetuma timu yake ya kwanza ya wasimamiaji wa uchaguzi nchini humo.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza kuendelea kushirikiana na DRC
Jun 18, 2017 23:03Umoja wa Ulaya umesisitiza kuwa, utaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwamba, vikwazo vya umoja huo dhidi ya baadhi ya viongozi wa nchi hiyo havitaathiri ushirikiano wa pande mbili.
-
Umoja wa Ulaya wakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Jun 10, 2017 03:11Umoja wa Ulaya umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya Wapalestina.
-
UN na EU zalaani mashambulio ya kigaidi ya Tehran, Baraza la Usalama la UN latoa heshima kwa waliouawa
Jun 07, 2017 11:09Mratibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hapa nchini na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea leo hapa mjini Tehran.
-
Mtazamo wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na bara la Afrika
Jun 05, 2017 22:42Akizungumza hivi karibuni katika kikao cha 51 cha Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS huko Monrovia mji mkuu wa Liberia, Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa ushirikiano wa umoja huo na bara la Afrika una umuhimu mkubwa kwa ajili ya kudhamini amani na usalama barani humo.
-
Kuongezwa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria
May 31, 2017 03:40Umoja wa Ulaya ukiendeleza siasa zake za chuki na uadui dhidi ya serikali halali ya Syria, umeongeza muda wa vikwazo vyake dhidi ya nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na hali ya Bahrain
May 28, 2017 03:04Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ambayo imeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Bahrain na kutoa indhari kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi
May 21, 2017 23:54Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.
-
Mogherini: EU na Russia zina msimamo mmoja kuhusu JCPOA
May 15, 2017 03:26Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU na Russia zina msimamo mmoja katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
EU yayataja makubaliano ya nyuklia ya Iran kama 'hatua kubwa'
May 10, 2017 03:08Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kuungwa mkono na kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia ya Vienna sambamba na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wake.