-
Sisitizo la Mogherini kuwa kudhoofika nafasi ya Marekani duniani ni fursa kwa Umoja wa Ulaya
May 06, 2017 22:07Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya EU, Federica Mogherini, Ijumaa alitangaza kuwa nafasi ya Marekani duniani inadhoofika na kwamba jambo hilo ni kwa maslahi ya umoja huo.
-
UN, US na EU zatakiwa kukomesha jinai za Bahrain dhidi ya Sheikh Qassim
May 05, 2017 09:12Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Bahrain na kimataifa yameziandikia barua Marekani, Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya yakizitaka ziishinikize serikali ya Manama kukomesha jinai zake dhidi ya Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa ngazi ya juu wa nchi hiyo ambaye alivuliwa uraia wa Bahrain Juni 20 mwaka jana 2016.
-
Ulaya: Tutaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia na Iran
Apr 30, 2017 23:42Kamishna wa Masuala ya Nishati wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, wanachama wa Umoja huo wataendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 26, 2017 03:28Umoja wa Ulaya umetaka kuwepo hakikisho kamili na athirifu la utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Ethiopia yakataa wito wa UN na EU wa kufanyika uchunguzi dhidi yake
Apr 18, 2017 21:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa wito wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya wa kufanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya mamia ya watu wakati wa maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali ya Addis Ababa nchini humo.
-
EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv
Apr 04, 2017 11:21Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.
-
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya: Trump atazusha vita vingine Balkan
Mar 24, 2017 22:21Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa mienendo na mielekeo ya Rais Donald Trump wa Marekani itasababisha vita vipya katika eneo la Balkan huko Ulaya.
-
Iran kuanza kuziuzia nchi za Ulaya mapipa laki 8 ya mafuta kwa siku
Mar 20, 2017 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatazamiwa kuongeza kiwango cha mauzo yake ya mafuta kwa nchi za Umoja wa Ulaya EU.
-
Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 15, 2017 09:49Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.
-
EU yarefusha vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2017 01:00Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa umerefusha vikwazo vilivyowekwa na umoja huo kwa shakhsia na mashirika ya Russia na eneo la Crimea kwa muda wa miezi sita yaani hadi kufikia Septemba 15.