Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula

    EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula

    Feb 10, 2017 00:56

    Neven Mimica, Kamishna wa Ushirikiano na Ustawi wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo utaisaidia serikali ya Gambia msaada wa kiasi cha Euro milioni 75.

  • Morocco yatishia kuvunja uhusiano wa kiuchumi na EU

    Morocco yatishia kuvunja uhusiano wa kiuchumi na EU

    Feb 07, 2017 00:31

    Serikali ya Morocco imetishia kuvunja uhusiano wake wa kiuchumi na Umoja wa Ulaya (EU).

  • UN, EU, Vatican zakasirishwa na sheria ya ubaguzi ya Trump

    UN, EU, Vatican zakasirishwa na sheria ya ubaguzi ya Trump

    Feb 02, 2017 04:02

    Umoja wa Mataifa, Umoja wa Ulaya na Vatican zimelaani sheria tata ya ubaguzi ya Rais Donald Trump wa Marekani, ya kuzuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia nchini humo.

  • Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi

    Kuongezeka mivutano kati ya Umoja wa Ulaya na Burundi

    Jan 28, 2017 09:04

    Hali ya mvutano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya ingali inaendelea na sasa serikali ya Bujumbura imeutuhumu umoja huo kuwa unakiuka mamlaka ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • Sisitizo la Mogherini kuhusu msimamo wa Umoja wa Ulaya juu ya kadhia ya Libya

    Sisitizo la Mogherini kuhusu msimamo wa Umoja wa Ulaya juu ya kadhia ya Libya

    Jan 26, 2017 09:25

    Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauna nia ya kuipa Libya pendekezo lile lile uliloipa Uturuki kuhusiana na wakimbizi.

  • EU yataka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky nchini Nigeria

    EU yataka kuachiliwa huru mara moja Sheikh Zakzaky nchini Nigeria

    Jan 25, 2017 01:12

    Umoja wa Ulaya umewataka viongozi wa Nigeria kuheshimu amri ya mahakama ya kumwachilia huru mara moja kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.

  • EU yasisitiza tena kutekelezwa kikamilifu JCPOA

    EU yasisitiza tena kutekelezwa kikamilifu JCPOA

    Jan 16, 2017 11:07

    Umoja wa Ulaya umetilia mkazo kutekelezwa kikamilifu Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kufungamana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la 5+1 na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kujitoa Uingereza ndani ya EU ni tishio kwa duru za kibiashara za Ulaya

    Kujitoa Uingereza ndani ya EU ni tishio kwa duru za kibiashara za Ulaya

    Jan 03, 2017 03:51

    Taasisi moja ya uchunguzi wa maoni ya Ulaya imetangaza kuwa hatua ya Uingereza ya kujitoa katika Umoja wa Ulaya inatishia pakubwa duru za kibiashara za bara hilo.

  • Burundi yatishia kuondoa wanajeshi wake Somalia

    Burundi yatishia kuondoa wanajeshi wake Somalia

    Dec 31, 2016 23:25

    Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametishia kuwa atawaondoa wanajeshi wa nchi yake walioko Somalia iwapo askari hao wanaohudumu katika kikosi cha Umoja wa Afrika UNISOM hawatalipwa mshahara wao.

  • Palestina; elekeo la macho ya jamii ya kimataifa

    Palestina; elekeo la macho ya jamii ya kimataifa

    Dec 22, 2016 04:19

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), Ahmad Abul Ghaith na Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamesisitiza kuwa kadhia ya Palestina inaendelea kuwa suala la msingi la kushughulikiwa kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS