-
EU, Arab League zalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Dec 21, 2016 10:54Umoja wa Ulaya EU na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Russia
Dec 19, 2016 23:35Umoja wa Ulaya umeongeza muda wa vikwazo dhidi ya Russia.
-
Umoja wa Ulaya kuipatia Niger mamilioni ya dola endapo itazuia wahajiri kuelekea Ulaya
Dec 17, 2016 13:33Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, utaipatia mamilioni ya dola nchi ya Niger endapo itafanya juhudi za kuwazuia wahajiri wanaolekea Ulaya ambao wanapitia katika nchi hiyo.
-
Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA
Dec 17, 2016 03:43Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametaka kuwepo na msimamo mmoja baina ya umoja huo na Russia katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wa makubaliano hayo.
-
Umoja wa Ulaya: Makundi ya kisiasa Gabon yafanye mazungumzo
Dec 16, 2016 11:35Umoja wa Ulaya umeyataka makundi ya kisasa nchini Gabon kufanya mazungumzo mapana kuhusu suala la kutaka kuitisha tena uchaguzi nchini humo.
-
Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria
Dec 12, 2016 23:18Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya ilivyowawekea baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa si halali.
-
UN na EU zalaani shambulizi la kigaidi katika soko nchini Somalia
Nov 28, 2016 12:35Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika soko la mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Umoja wa Ulaya, mshirika wa Israel katika kutenda jinai dhidi ya Wapalestina
Nov 22, 2016 03:51Wawakilishi wa zaidi ya wafanyakazi milioni tatu barani Ulaya wamelaani ushirikiano wa umoja huo na Israel katika kutenda jinai dhidi ya watu wanaoendelea kudhulumiwa wa Palestina.
-
Gambia yaizuia timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EU nchini humo
Nov 19, 2016 04:21Serikali ya Gambia imekataa kuruhusu timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya EU kuingia nchini humo kwa ajili ya kufuatilia uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mapema mwezi ujao.
-
Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC
Nov 18, 2016 23:18Hatua ya Russia ya kutangaza kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imezikasirisha nchi za Magharibi za Ulaya na Marekani.