-
Unicef: Watoto wanajiunga na makundi ya waasi Sudan Kusini
Aug 19, 2016 16:16Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema unatiwa wasiwasi na kujiunga watoto na makundi yenye silaha huko Sudan Kusini.
-
UNICEF: Watoto elfu 49 wanakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Jul 20, 2016 07:26Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, watoto 49,000 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa na utapiamlo nchini Nigeria.
-
Unicef: Watoto wakimbizi wanakabiliwa na hatari nchini Italia
Jun 15, 2016 15:35Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umeeleza kuwa watoto wengi walionusurika kifo wakiwa katika safari ngumu kwenye bahari ya Mediterania wakitokea Libya kuelekea Italia hawakuongozana na watu wazima; na hivyo kuwafanya watoto hao kuwa katika mazingira ya kuweza kukabiliwa na vitendo vya unyanyasaji na kutumiwa kama watumwa.
-
UNICEF: Watoto milioni 87 duniani wanajua vita tu
Mar 25, 2016 15:52Zaidi ya watoto milioni 86.7 wa chini ya umri wa miaka saba wameishi maisha yao yote katika maeneo ya vita na kuhatarisha ukuaji wa ubongo wao.
-
Unicef: Athari hasi za vita zinaathiri ukuaji wa watoto milioni 87
Mar 24, 2016 15:09Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umeeleza kuwa watoto karibu milioni 87 walio na umri chini ya miaka saba walioko katika maeneo mbalimbali duniani yaliyoathiriwa na vita, wanaishi katika mazingira ambayo yanaaathiri vikali ukuaji wao wa kiakili.
-
UNICEF: Theluthi moja ya watoto wa Syria wamezaliwa kipindi cha vita
Mar 15, 2016 03:01Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto (UNICEF) umesema kila mtoto mmoja kati ya watatu nchini Syria amezaliwa katika kipindi cha vita,huku nchi hiyo ikiingia katika mwaka wa sita wa mapigano yaliyotokana na uasi unaoungwa mkono na madola ya kigeni.
-
UNICEF yaonya kuhusu lishe duni kwa watoto wa Afrika
Feb 18, 2016 02:11Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema kuwa, kuna watoto milioni moja wana lishe duni barani Afrika