-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya watoto milioni moja nchini Afghanistan
Oct 31, 2021 02:20Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadharisha kuwa, watoto milioni moja wa Afghanistan wako katika hali mbaya na hatari ya kupoteza maisha kutokana na lishe duni.
-
Watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawaendi shule
Sep 19, 2021 06:47Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeripoti kuwa watoto wa Kiafghani zaidi ya milioni nne hawajajiandikisha kuanza shule mwaka huu nchini humo.
-
UNICEF: Ndani ya kila dakika 10, mtoto anaaga dunia Yemen
Aug 24, 2021 08:01Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ametahadharisha kuhusu hali ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini Yemen kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu na kusema kuwa, mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila baada ya dakika 10.
-
UNICEF: Maisha ya watoto bilioni moja yako hatarini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Aug 21, 2021 12:55Ripoti mpya iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF inaonyesha kuwa, vijana na watoto bilioni moja duniani hususan wanaoishi katika nchi za Jamuhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Nigeria, Guinea, na Guinea-Bissau wanakabiliwa na hatari zaidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi, yakitishia afya zao, elimu, na ulinzi, na kuwaweka kwenye hatari ya magonjwa.
-
Njama za UNICEF za "kurubuni" watoto wa Yemen zagunduliwa al Hudaydah
May 03, 2021 07:50Maafisa wa Yemen katika mkoa wa al Hudaydah wamegundua shehena iliyotumwa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) kama zawadi kwa waototo wa Yemen ambayo ina mifuko ya shule na ramani zinazoutambua rasmi utawala haramu wa Israel badala ya Palestina.
-
UNICEF yataka walimu wapewe kipaumbele katika chanjo ya COVID-19
Dec 16, 2020 03:02Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetaka walimu wapewe kipaumbele katika chanjo ya COVID-19 au corona.
-
UNICEF yazitaka nchi za mashariki na kusini mwa Afrika zifungue shule
Sep 23, 2020 01:35Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umezitaka serikali za nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kufungua shule haraka iwezekanavyo sambamba na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa salama wanaporejea shuleni.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu lishe mbaya ya watoto katika kipindi cha corona
Jul 28, 2020 07:25Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu athari mbaya za maambukizi ya virusi vya corona kwa watoto ikiwa ni pamoja na umaskini na ukosefu wa usalama wa chakula.
-
Unicef: Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongeza sana Yemen
Jun 26, 2020 07:15Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Yemen.
-
Unicef: Mamilioni ya watoto Asia magharibi watasumbuliwa na umaskini kwa sababu ya corona
Apr 22, 2020 01:37Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadhasriha kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watoto katika eneo la Asia magharibi kusumbuliwa na umaskini kutokana na janga la kiuchumi litakalosababishwa na maambukizi ya virusi vya corona.