-
Nigeria yaitimua UNICEF kwa tuhuma za kuwapa mafunzo majasusi wa Boko Haram
Dec 15, 2018 07:01Jeshi la Nigeria limesimamisha shughuli za Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) katika eneo la kaskazini mashariki kwa nchi, kwa tuhuma kuwa maafisa wake wanawapa mafunzo na kushirikiana na majasusi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Hraram.
-
Hatima isiyojulikana ya watoto 15,000 wahanga wa machafuko Sudan Kusini
Dec 13, 2018 15:31Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, kutokana machafuko na mapigano ya miaka mitano huko Sudan Kusini, hatima ya watoto 15,000 haijulikana kutokana na kutoweka au kukutengana na wazazi wao.
-
UNICEF: Watoto milioni nane Yemen wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe duni
Dec 06, 2018 13:49Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, watoto zaidi ya milioni nane nchini Yemen wanataabika kutokana na hali mbaya ya lishe duni.
-
Unicef: Watoto milioni 1.5 wa CAR wanahitaji msaada wa dharura
Dec 01, 2018 02:46Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema thuluthi mbili ya watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura haraka iwezekenavyo.
-
UNICEF: Karibu mabarubaru 80 kuangamia kwa Ukimwi kila siku
Nov 30, 2018 07:16Vijana wadogo yaani barubaru 76 wanakadiriwa kuwa watafariki dunia kila siku ulimwenguni kote kati ya mwaka huu na 2030 iwapo uwekezaji sahihi hautafanyika kuzuia Virusi Vya Ukimwi, VVU miongoni mwa tabaka hilo la wanadamu.
-
UNICEF: Uhai wa zaidi ya watoto milioni moja uko hatarini Mashariki ya Kati
Nov 29, 2018 07:44Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kwamba, maisha na uhai wa watoto zaidi ya milioni moja katika eneo la Mashariki ya Kati uko hatarini wakati huu wa kuwadia msimu wa baridi.
-
UNICEF: Watoto 870 wameuawa mashariki mwa Syria katika kipindi cha miezi 9 iliyopita
Nov 18, 2018 02:44Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema kuwa, katika kipindi cha miezi 9 iliyopita, watoto 870 wameuawa mashariki mwa Syria.
-
UNICEF: Mtoto mmoja wa Yemen hufariki dunia kila baada ya dakika 10
Nov 17, 2018 06:36Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto sita wa Yemen hufariki dunia kila baada ya saa moja nchini Yemen.
-
Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha "Muamala wa Karne"
Sep 14, 2018 23:58Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen ni kibiashara inayotumiwa na Marekani ili kuendeleza njama mpya ya Washington na Wazayuni ya "Muamala wa Karne" dhidi ya Palestina.
-
UNICEF yatoa indhari: Kizazi cha Waislamu Warohingya wa Myanmar kinakabiliwa na hatari ya kutoweka
Aug 23, 2018 15:00Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetahadharisha kuwa kizazi cha Waislamu Warohingya walioko nchini Myanmar na kwenye kambi za wakimbizi kwenye mpaka wa Bangladesh kinakabiliwa na hatari ya kutoweka.