-
Njama za maadui za kuzusha mifarakano baina ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa
Oct 27, 2016 10:07Mwakilishi wa Faqihi Mtawala nchini Iraq amesema njama za maadui wa Uislamu za kuzusha hitilafu na mifarakano kati ya Shia na Sunni nchini Iran zimeshindwa kutokana na umoja na mshikamano baina ya wafuasi wa madhehebu hizo.
-
Maulamaa wa Bahrain watoa taarifa ya kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Sep 26, 2016 14:17Maulamaa wa Bahrain leo wametoa taarifa yao katika siku ya kumi ya kukusanyika raia wa nchi hiyo mbele ya nyumba ya mwanazuoni huyo wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka
Sep 01, 2016 03:54Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.
-
Utawala wa Saudia wamkamata mwanazuoni mkubwa wa Kishia
Jul 12, 2016 17:02Saudi Arabia imemkamata mwanazuoni mkubwa wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, huku utawala huo wa kifalme ukiendelea kubana harakati za kidini za raia wa maeneo ya mashariki yenye utajiri mkubwa wa mafuta.
-
Shekhe Mkuu wa al-Azhar aunga mkono umoja baina ya Shia na Suni
May 23, 2016 03:34Shekhe Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa Shia na Suni ni mbawa mbili za Uislamu na zinapaswa kukaribiana zaidi na zaidi.
-
Wanawake Waislamu wa Kishia na Kisuni nchini Marekani wafanya kongamano la pamoja
May 01, 2016 04:22Wanawake wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni katika jimbo la Ohio nchini Marekani wamefanya kongamano maalumu ili mbali na kuzidi kuelewana, kuonesha kuwa masuala yanayowaunganisha pamoja ni mengi zaidi kulinganisha na wanayohitilafiana.
-
Ayatullah Rafsanjani: Umoja baina ya Shia na Suni ni jambo lenye ulazima
Mar 13, 2016 03:31Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja baina ya Shina na Suni una umuhimu mkubwa mno hususan katika hali na mazingira tete na hasasi yanayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwenguni.
-
Kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni, lengo kuu la Marekani
Mar 07, 2016 01:17Mkuu wa kitengo cha habari na malezi cha Chuo Kikuu cha al Mansoura cha nchini Misri amesema, kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia ndilo lengo kuu la Marekani katika njama zake za kuwarafakanisha Waislamu.
-
Al Azhar: Hakuna vita baina ya Shia na Suni nchini Syria
Feb 25, 2016 02:00Licha ya njama zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuuhusisha mgogoro wa Syria na masuala ya kimadhehebu, Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema kuwa vita vinavyoendelea nchini Syria si vita baina ya Shia na Suni.
-
Al Azhar yatilia mkazo umoja baina ya Waislamu
Feb 22, 2016 16:36Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema Shia na Suni ni mbawa mbili za Uislamu na kwamba kuna udharura wa kufanyika jitihada za kukurubisha pamoja wafuasi wa madhehebu hizo mbili.