-
Kazakhstan: Pande zilizoshiriki mazungumzo ya Syria, zimekubaliana kudumisha usitishaji vita
Mar 16, 2017 04:06Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kazakhstan amesema kuwa, pande zilizoshiriki mazungumzo ya amani ya mjini Astana, mji mkuu wa nchi hiyo, zimekubaliana kudumisha usitishaji mapigano nchini Syria sambamba na kubadilishana mateka.
-
Lebanon yataka kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia za amani
Jan 27, 2017 07:20Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa mgogoro wa Syria unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia za amani na kisiasa.
-
Iran yatahadahrisha kuhusu njama za kuvuruga mchakato wa amani Syria
Jan 09, 2017 04:33Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu njama za kuvuruga mchakato mgumu wa kusaka amani nchini Syria.
-
Italia: Tuna matumaini mgogoro wa Syria utatatuliwa
Dec 04, 2016 07:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesema kuwa, ana matumaini njia za kidiplomasia zitautatua mgogoro wa Syria.
-
Assad: Mgororo wa Syria utatatuliwa kwa mazungumzo sambamba na kupambana na ugaidi
Jul 03, 2016 02:26Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa, haiwezekani kupatikana njia ya ufumbuzi halisi wa mgogoro wa nchi hiyo bila ya kuwepo mapambano ya kweli dhidi ya ugaidi.
-
Syria na kukaribia kufanyika mazungumzo ya Geneva
Mar 13, 2016 06:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amekosoa matamshi yaliyotolewa na Staffan de Mistura, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria na kusisitiza kuwa serikali ya Damascus inaendelea kuheshimu makubaliano ya usitishaji vita.