Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Ombi la Umoja wa Afrika la kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ombi la Umoja wa Afrika la kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Feb 25, 2023 08:38

    Nchi 55 wanachama wa Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kuvunjwa uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaja utawala huo kuwa ni dola la kikoloni.

  • Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Damu ya Mashahidi itailetea ushindi Palestina

    Katibu Mkuu wa Jihadul-Islami: Damu ya Mashahidi itailetea ushindi Palestina

    Feb 25, 2023 03:39

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amepongeza mchango wa kijihadi wa Mashahidi wa ardhi hiyo katika kukabiliana na adui Mzayuni na akasema, damu za Mashahidi hao ndizo zitakazoiletea ushindi Palestina.

  • Wataalamu: Netanyahu 'hana ubavu' wa kukabiliana na wanamapambano wa Palestina

    Wataalamu: Netanyahu 'hana ubavu' wa kukabiliana na wanamapambano wa Palestina

    Feb 23, 2023 06:38

    Wataalamu mbalimbali wa kijeshi wa Israel wametoa maneno makali ya kumlaumu waziri mkuu mwenye misimamo ya kufurutu ada, Benjamin Netanyahu na kusema kuwa, hana uwezo wa kukabiliana na mashambulio ya makombora ya wanamapambano wa Palestina.

  • Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus

    Nchi za Kiarabu zalaani mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni huko Nablus

    Feb 23, 2023 02:45

    Baadhi ya nchi za Kiarabu zimelaani jinai mpya iliyotekelezwa na Maghasibu wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika mji wa Nablus.

  • Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka

    Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka

    Feb 22, 2023 23:02

    Makundi na mashirika ya Kiyahudi yenye misimamo mikali yametoa wito kwa Wazayuni yakiwataka kuushambulia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem) kwa mnasaba wa Pasaka ya Kiyahudi (Passover au Pesach).

  • Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Taarifa rasmi ya Baraza la Usalama ya kulaani vitongoji vya walowezi

    Feb 21, 2023 23:02

    Jumatatu ya tarehe 20 Februari Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha rasimu ya azimio linalolaani uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Wazayuni waliojifanya kusaidia wahanga wa matetemeko Uturuki kumbe ni wezi!

    Wazayuni waliojifanya kusaidia wahanga wa matetemeko Uturuki kumbe ni wezi!

    Feb 20, 2023 22:59

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina amefichua kuwa, timu ya utawala wa Kizayuni iliyojipeleka Uturuki kwa madai ya kusaidia wahanga wa mitetemeko ya ardhi, wameiba nyaraka za kihistoria ya Uturuki.

  • HAMAS yapongeza misimamo ya Umoja wa Afrika dhidi ya utawala haramu wa Israel

    HAMAS yapongeza misimamo ya Umoja wa Afrika dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Feb 20, 2023 08:57

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza misimamo ya Umoja wa Afrika (AU) dhidi ya utawala haramu wa Israel na hatua yake ya kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestina.

  • Iran: Mkutano wa usalama wa Munich umepoteza hadhi yake

    Iran: Mkutano wa usalama wa Munich umepoteza hadhi yake

    Feb 20, 2023 08:25

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikai mkutano wa usalama wa Munich na kubainisha kwamba, hatua zilizochukuliwa na waandaaji wa mkutano huo zimetoa pigo kubwa kwa itibari na hadhi ya mkutano huo wa usalama.

  • Faisal al-Miqdad: Shambulio la Israel kwenye maeneo ya raia ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Faisal al-Miqdad: Shambulio la Israel kwenye maeneo ya raia ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Feb 20, 2023 04:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema: "Shambulio la makombora lililofanywa Jumapili asubuhi na utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya raia ya Damascus na vitongoji vyake ni jinai dhidi ya binadamu."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS