Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kan'ani: Palestina itabakia milele; kuangamia ni katika dhati na utambulisho wa Israel

    Kan'ani: Palestina itabakia milele; kuangamia ni katika dhati na utambulisho wa Israel

    Dec 30, 2022 09:03

    Msemaji wa Wizara vya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa madai yasiyo ya msingi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kueleza kuwa, hatua hiyo inafuatilia kujijengea utambulisho wake.

  • Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022

    Israel yakiri kuwa wazayuni 29 wameangamizwa katika mwaka unaomalizika wa 2022

    Dec 28, 2022 08:13

    Idara ya usalama wa ndani ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Shabak imekiri kuwa, Wazayuni 29 waliuawa katika operesheni za mashambulizi zilizofanywa na Wapalestina katika mwaka huu unaomalizika wa 2022.

  • Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu

    Bunge la Oman: Kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ni uhalifu

    Dec 28, 2022 05:08

    Baraza la Ushauri la Oman limeikabidhi Kamati wa Kutunga Sheria na Kulinda Haki ya nchi hiyo; muswada wa marekebisho ya kifungu cha 10 cha sheria ya kuharamisha na kupiga marufuku kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel ili upasishwe rasmi.

  • Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 26, 2022 04:06

    Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu

    Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu

    Dec 25, 2022 22:46

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.

  • Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Dec 24, 2022 22:47

    Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.

  • Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)

    Mamia ya nyumba za Wapalestina zimebomolewa tangu kuanza mwaka huu (2022)

    Dec 23, 2022 08:32

    Mamia ya nyumba za wananchi wa Palestina zimebomolewa na utawala haramu wa Israel tangu kuanza mwaka huu wa 2022 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu.

  • Mkuu wa Jeshi la Iran: Israel haitastahamili jibu kali la Iran kwa kitendo chochote cha kiadui

    Mkuu wa Jeshi la Iran: Israel haitastahamili jibu kali la Iran kwa kitendo chochote cha kiadui

    Dec 22, 2022 07:50

    Mkuu wa Jeshi la Iran anapuuzilia mbali vitisho vya kijeshi vya Israel akisema utawala huo wa Kizayuni hauwezi kustahamili jibu la Iran kwa kitendo chochote cha kiuadui kitakachofanywa na utawala huo kutokana na mivutano ya kisiasa inayoukabili kutoka kwa ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel

    HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel

    Dec 19, 2022 23:05

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.

  • Amir-Abdollahian: Utawala wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo

    Amir-Abdollahian: Utawala wa Israel ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo

    Dec 17, 2022 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Kizayuni ni utawala bandia, usio halali na ni tishio kubwa kwa usalama wa eneo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS