Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • ICC yahofishwa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    ICC yahofishwa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 06, 2019 04:01

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ameelezea hofu yake kuhusu hatari za kuingizwa eneo la "Bonde la Jordan" katika sehemu ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Madai ya usitishaji vita wa muda mrefu ni propaganda za uchaguzi za utawala wa Kizayuni

    Hamas: Madai ya usitishaji vita wa muda mrefu ni propaganda za uchaguzi za utawala wa Kizayuni

    Dec 05, 2019 04:38

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja tetesi iliyoenea katika vyombo vya habari vya Kizayuni kuhusu jitihada za utawala huo za kufikia makubaliano ya usitishaji vita ya muda mrefu na Ukanda wa Ghaza kuwa ni propaganda za uchaguzi.

  • PLO yazitaka jumuiya za kimataifa kuchukua hatua za kuhitimisha jinai za Israel

    PLO yazitaka jumuiya za kimataifa kuchukua hatua za kuhitimisha jinai za Israel

    Dec 05, 2019 01:12

    Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imezitaka jumuiya za kimataifa na watetezi wa haki za binadamu ulimwenguni kuchukua hatua haraka ili kuzuia kuendelea jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya taifa madhulumu la Palestina.

  • Watu zaidi ya 300 kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel

    Watu zaidi ya 300 kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel

    Dec 03, 2019 23:31

    Watu 333 watatoa ushahidi dhidi ya Benjamin Netanyahu Kwa mujibu wa mashtaka yaliyowasilishwa kwa bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) kuhusu mafaili ya ufisadi yanayomkabili Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni.

  • Google na Facebook zashirikiana na Israel dhidi ya Wapalestina

    Google na Facebook zashirikiana na Israel dhidi ya Wapalestina

    Nov 28, 2019 23:40

    Kamati ya Kuwaunga Mkono Waandishi Habari wa Palestina imetangaza kuwa, makampuni mawili ya Facebook na Google yanashirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel katika njama ya kutaka kuzima sauti za Wapalestina na kuficha jinai ziinazofanywa na utawala huo katili.

  • Mwendesha mashtaka wa Israel: Netanyahu alinitisha

    Mwendesha mashtaka wa Israel: Netanyahu alinitisha

    Nov 22, 2019 10:33

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni amesisitiza kwamba alipata vitisho vya kumtaka ajiepushe kutangaza makosa ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo.

  • Jordan yatahadharisha dhidi ya Marekani kubadili msimamo kuhusu vitongoji vya utawala wa Kizayuni

    Jordan yatahadharisha dhidi ya Marekani kubadili msimamo kuhusu vitongoji vya utawala wa Kizayuni

    Nov 19, 2019 23:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi ametahadharisha kitendo cha Marekani kubadili msimamo wake kuhusiana na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na utawala haramu wa Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kukitaja kitendo hicho kuwa hatari.

  • Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Hamas: Silaha za muqawama ndizo pekee zinazoitia hofu Israel

    Nov 17, 2019 23:03

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, silaha za muqawama ndizo pekee zinazodhamini usalama wa taifa la Palestina na kuilazimisha Israel ibaki kwenye makubaliano ya kusimamisha vita.

  • Wazayuni waendelea kushambulia Ghaza licha ya makubaliano ya kusitisha vita

    Wazayuni waendelea kushambulia Ghaza licha ya makubaliano ya kusitisha vita

    Nov 16, 2019 04:22

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni mapema leo asubuhi zimefanya mashambulizi mengine katika Ukanda wa Ghaza licha ya Israel yenyewe kuomba usitishaji vita na wanamuqawama wa Palestina.

  • Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Nov 15, 2019 10:23

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufutwa Israel kuna maana ya kuondolewa utawala bandia wa Kizayuni na mahala pake kuchukuliwa na serikali iliyochaguliwa na wamiliki wa asili wa Palestina ambao ni Waislamu, Wakristo na Mayahudi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS