-
Hizbullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi za watoto
Aug 01, 2019 03:27Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu haki za kimsingi kabisa za watoto na unapuuza makubaliano ya kimataifa yanayohusiana na haki hizo.
-
Israel kutoa 'bahashishi' ya mamilioni ya dola kuzishawishi nchi zihamishie balozi zao Quds (Jerusalem)
Jul 29, 2019 02:47Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umepanga kutoa 'bahashishi' ya mamilioni ya dola kwa nchi mbali mbali duniani ili kuzishawishi zihamishie balozi zao katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kuongezeka uwezo wa kujihami wa harakati za Hizbullah na Hamas
Jul 26, 2019 23:43Duru za usalama ndani ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimekiri kuimarika uwezo wa kujihami wa harakati za Kiislamu za Hizbullah ya Lebanon na muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS).
-
Hizbullah: Lebanon hatuna hofu na vitisho vya utawala haramu wa Israel
Jul 26, 2019 08:07Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, kwa kutegemea uwezo wake wa ndani, Lebanon haina hofu yoyote na vitisho vya utawala haramu wa Kizayuni.
-
Katibu Mkuu wa UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina si halali kisheria
Jul 26, 2019 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, sera za Israel za kuharibu na kuteketeza mali za Wapalestina haziendani na sheria za kimataifa.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jul 25, 2019 21:04Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Makumi ya wanadiplomasia wa utawala wa Kizayuni duniani kugoma kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi
Jul 22, 2019 23:58Makumi ya wanadiplomasia wa utawala haramu wa Kizayuni duniani wametishia kugoma kutokana na mgogoro mkubwa wa kifedha unaoikabili Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo.
-
HAMAS yasisitiza kukomeshwa mashambulio ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Jul 20, 2019 23:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, adui mzayuni ndiye anayebeba dhima ya kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya Wapalestina yakiwemo mashambulio dhidi ya waandamano wa maandamno ya "Haki ya Kurejea".
-
Kujiuzulu kwa kamanda wa jeshi la Israel na athari za operesheni "Ncha ya Upanga"
Jul 07, 2019 02:17Kamanda wa operesheni maalumu za upelelezi wa jeshi la Israel amelazimika kujiuzulu kutokana na kushindwa operesheni ya Khan Yunis Novemba 2018 na kushindwa jaribio la kutaka kumuua mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa Brigedi ya Izzuddin Qassam, tawi la kijehi la harakati ya Hamas.
-
Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji
Jul 06, 2019 06:28Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.