Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar

    Utawala wa Kizayuni waipongeza Saudia kwa kukata uhusiano na Qatar

    Jun 06, 2017 03:38

    Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amekaribisha hatua ya Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kukata mahusiano yao na taifa la Qatar na kusema kuwa, hiyo ni fursa pekee kwa ajili ya Israel.

  • Imarati yazidi kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Imarati yazidi kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Jun 05, 2017 03:16

    Uhusiano wa kiraifiki baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu au Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umezidi kufichuka baada ya kubainika kuwa pande hizo mbili zina miradi ya pamoja ya kiuchumi na zinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.

  • Makombora ya Hizbullah ndio tishio kubwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni

    Makombora ya Hizbullah ndio tishio kubwa zaidi kwa utawala wa Kizayuni

    May 31, 2017 03:21

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema makombora ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah ndio hatari kubwa zaidi inayoukabili utawala huo ghasibu.

  • Rasimu ya sheria ya 'Quds Kubwa' yawasilishwa kwenye bunge la utawala wa Kizayuni

    Rasimu ya sheria ya 'Quds Kubwa' yawasilishwa kwenye bunge la utawala wa Kizayuni

    May 30, 2017 23:40

    Wabunge wawili wa mrengo wa kulia katika bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel Knesset wamewasilisha kwenye bunge hilo rasimu ya sheria iliyopewa jina la 'Quds Kubwa'.

  • Wazayuni waitaka Marekani iendelee kuliunga mkono kundi la Daesh (ISIS)

    Wazayuni waitaka Marekani iendelee kuliunga mkono kundi la Daesh (ISIS)

    May 26, 2017 23:51

    Baadhi ya maafisa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameishauri Marekani kuwa haipasi kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) litokomezwe kwa sababu kundi hilo halijawahi kuwa tishio na hatari kwa Israel.

  • Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 16, 2017 03:50

    Brigedia ya Quds tawi la harakati ya muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina sambamba na kuonyesha picha na video kuhusiana na mwendelezo wa siasa za sasa za utawala huo dhidi ya taifa la Palestina na Ukanda wa Gaza, imetoa indhari kali kwa utawala huo.

  • Al Zahar: Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu

    Al Zahar: Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu

    Apr 30, 2017 11:44

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu na kwamba njama za utawala huo pandikizi zinalenga kuuangamiza ulimwengu mzima wa Kiislamu.

  • Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Apr 28, 2017 10:10

    Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema: "Maadui hatimaye watasalimu amri kuhusu utatuzi wa kisiasa wa kadhia ya Syria na kwa yakini utawala haramu na wa kigaidi wa Israel hauna nafasi katika mustakabali wa Mashariki ya Kati."

  • Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Apr 25, 2017 11:37

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao.

  • Israel yapatwa na wasi wasi kutokana na askari kuendelea kutoroka  jeshini

    Israel yapatwa na wasi wasi kutokana na askari kuendelea kutoroka jeshini

    Apr 25, 2017 11:37

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeonyesha wasi wasi mkubwa kufuatia askari wengi kuendelea kutoroka kuhudumu jeshini huko katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS