Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi

    Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi

    Aug 28, 2024 01:04

    Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.

  • Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Kauli ya waziri wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi

    Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Kauli ya waziri wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi

    Aug 27, 2024 03:29

    Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ikrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.

  • Palestina kuwasilisha ombi la kujiunga na BRICS baada ya mkutano wa Oktoba

    Palestina kuwasilisha ombi la kujiunga na BRICS baada ya mkutano wa Oktoba

    Aug 27, 2024 03:28

    Palestina itawasilisha ombi la kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS baada ya mkutano wa kilele wa jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika nchini Russia mwezi Oktoba. Hayo yameelezwa na balozi wa Palestina mjini Moscow Abdel Hafiz Nofal.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kupita wakati si kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kupita wakati si kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake

    Aug 26, 2024 22:43

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Licha ya uungaji mkono mkubwa wa nchi za Mgharibi, zikiongozwa na Marekani kwa utawala ghasibu wa Israel, lakini utawala huo umepoteza uwezo wake wa kutabiri wakati na mahala pa kufanyika hata mashambulizi madogo kabisa, fakaifa kuyazuia.

  • Mwendesha Mashtaka wa ICC asisitiza Netanyahu na Gallant wakamatwe haraka iwezekanavyo

    Mwendesha Mashtaka wa ICC asisitiza Netanyahu na Gallant wakamatwe haraka iwezekanavyo

    Aug 24, 2024 06:33

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewataka majaji wa mahakama hiyo watoe haraka waranti wa kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa vita wa utawala huo Yoav Gallant.

  • Aliyekuwa mateka wa HAMAS 'avisuta' vyombo vya habari vya Israel: Sikupigwa wala kukatwa nywele Ghaza

    Aliyekuwa mateka wa HAMAS 'avisuta' vyombo vya habari vya Israel: Sikupigwa wala kukatwa nywele Ghaza

    Aug 24, 2024 06:08

    Noa Argamani, mwanamke wa Kiisraeli aliyeachiliwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa mateka katika Ukanda wa Ghaza tangu Oktoba 7, 2023 amekadhibisha taarifa za upotoshaji zilizotolewa na vyombo vya habari vya Israel na kusisitiza kuwa hakupigwa wala hakukatwa nywele alipokuwa anashikiliwa na Wanamuqawama wa Palestina.

  • Askari 695 wa Israel wameangamizwa, 4,357 wamejeruhiwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza

    Askari 695 wa Israel wameangamizwa, 4,357 wamejeruhiwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza

    Aug 23, 2024 23:04

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa askari 695 wa utawala huo wameangamizwa tangu jeshi la utawala huo katili lilipoanzisha vita dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza na kupambana na vikosi vya Muqawama wa Palestina.

  • Ubelgiji yalaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza

    Ubelgiji yalaani jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza

    Aug 22, 2024 23:25

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ubelgiji imelaani shambulizi la Israel dhidi ya makazi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

  • UNRWA yatahadharisha kuhusu vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza

    UNRWA yatahadharisha kuhusu vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza

    Aug 22, 2024 08:26

    Afisa mmoja wa UNRWA ametahadharisha kuhusu kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusema: Vifo ni hatima pekee inayowakabili watu wa Gaza na kuwa hakuna njia nyingine ya kuepuka jinai zisizo na kikomo za utawala huo.

  • Ombi la Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Mediterranean la kuwekewa vikwazo Israel

    Ombi la Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Mediterranean la kuwekewa vikwazo Israel

    Aug 22, 2024 07:16

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Ulaya na Mediterania (The Euro-Mediterranean Human Rights Monitor-Euro-Med-) limeonya katika taarifa yake siku ya Jumatano kuhusu amri za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwataka Wapalestina wahame katika maeneo tofauti ya Gaza na kuzitaka nchi za dunia ziuwekee vikwazo utawala huo ghasibu na zisiuunge mkono.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS