-
Qalibaf: Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena umeonesha dhati yake ya kijinai
Aug 04, 2024 03:54Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni katika miji ya Beirut na Tehran na kuendelea kuwaua watoto huko Ghaza, kwa mara nyingine tena zimewaonesha walimwengu dhati halisi ya kijinai, ukatili na ubeberu wa dola hilo pandikizi.
-
Naim Qassem: Majibu ya Hizbullah yatauumiza vibaya utawala wa Kizayuni
Aug 03, 2024 23:14Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza uwa, majibu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na majibu hayo yatakuwa ya kuuumiza utawala wa Kizayuni.
-
Spika wa Bunge la Iran: Utawala wa Kizayuni utalipa gharama ya jinai yake
Aug 01, 2024 07:49Katika kujibu mauaji ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas mjini Tehran, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa gharama kubwa ya chokockoko zake katika ardhi ya Iran.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 29, 2024 22:58Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
Iran: Kupanuka jinai za Wazayuni ni tishio kwa amani na usalama wa dunia
Jul 29, 2024 09:23Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kupanuka na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza ni tishio kwa amani na usalama wa eneo la Maghahribi mwa Asia na dunia.
-
HAMAS: Agosti 3 itakuwa Siku ya Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na wafungwa Wapalestina
Jul 29, 2024 03:28Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameitangaza Jumamosi ijayo ya tarehe 3 Agosti kuwa "Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuwaunga mkono Waghaza na wafungwa Wapalestina" walioko kwenye jela za Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.
-
Syria: Israel yenyewe imeshambulia Majdal Shams ili kupata kisingizio cha kupanua vita
Jul 28, 2024 23:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulio katika eneo la Majdal Shams lililoko kwenye Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu ili kuhalalisha lengo lake la kutaka kupanua wigo wa vita na uvamizi wake wa kijeshi katika eneo.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon
Jul 28, 2024 07:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha kuhusu chokochoko yoyote mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa Lebanon.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Jul 27, 2024 22:59Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.