Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • 62% ya Wazayuni wanataka vita dhidi ya Ghaza vikomeshwe

    62% ya Wazayuni wanataka vita dhidi ya Ghaza vikomeshwe

    Jul 27, 2024 08:57

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na chaneli ya 12 televisheni ya Israel yanaonyesha kuwa asilimia 62 ya Wazayuni wanataka kukomeshwa vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Ripoti ya mashirika ya UN: Ghaza ina hali mbaya zaidi ya uhaba wa chakula duniani

    Ripoti ya mashirika ya UN: Ghaza ina hali mbaya zaidi ya uhaba wa chakula duniani

    Jul 27, 2024 08:05

    Ripoti mpya ya pamoja iliyotolewa na mashirika matano ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa Ukanda Ghaza uliowekewa mzingiro na kuzuiliwa na jeshi la Kizayuni kuingiziwa misaada ya chakula, ndilo eneo linalokabiliwa na hali mbaya zaidi ya ukosefu wa chakula duniani.

  • Tehran: Tuhuma za utawala wa Israel unaouawa watoto dhidi ya Iran ni kichekesho

    Tehran: Tuhuma za utawala wa Israel unaouawa watoto dhidi ya Iran ni kichekesho

    Jul 27, 2024 03:46

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, tuhuma zilizotolewa na waziri wa utawala wa Israel unaoua watoto dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 ni jaribio lililofeli la kupotosha fikra za umma za walimwengu kuhusiana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huu huko Gaza.

  • Umoja wa Mataifa: Hali katika Ukanda wa Gaza ni maafa kikamilifu

    Umoja wa Mataifa: Hali katika Ukanda wa Gaza ni maafa kikamilifu

    Jul 26, 2024 23:03

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali katika Ukanda wa Gaza iliyosababishwa na mashambulizi ya Israel ni maafa kamili ambayo hayajawahi kuonekana katika medani yoyote ya vita.

  • Katibu Mkuu wa UN: Watu nusu milioni wanakufa kila mwaka kwa joto kali

    Katibu Mkuu wa UN: Watu nusu milioni wanakufa kila mwaka kwa joto kali

    Jul 26, 2024 09:26

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa dharura wa kuchukuliwa hatua ili kulinda vyema mabilioni ya watu duniani kote walioathiriwa na athari za joto kali, huku ongezeko la joto duniani likiendelea kupanda bila ya kuwepo dalili ya kupungua.

  • Daktari Myahudi awaumbua Wazayuni kwa jinai zao dhidi ya watoto wa Palestina

    Daktari Myahudi awaumbua Wazayuni kwa jinai zao dhidi ya watoto wa Palestina

    Jul 24, 2024 02:57

    Daktari mmoja Mmarekani ambaye pia ni Myahudi amewafedhehesha Wazayuni kwa kufichua jinai kubwa zinazofanywa na wanajeshi makatili wa Israel dhidi ya watoto wadogo wa Palestina.

  • Israel yaendeleza mashambulizi kusini, katikati na kaskazini mwa Gaza; Wapalestina 85 wauawa shahidi

    Israel yaendeleza mashambulizi kusini, katikati na kaskazini mwa Gaza; Wapalestina 85 wauawa shahidi

    Jul 23, 2024 23:20

    Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni limezidisha jinai na mashambulizi yake katika maeneo ya kaskazini, kusini na katikati mwa Ukanda wa Gaza na hivyo kuifanya idadi ya mashahidi wa Kipalestina waliouliwa hadi sasa huko Gaza kuongezeka.

  • Palestina yaomba utawala wa Kizayuni uondolewe katika michezo ya Olimpiki ya Paris

    Palestina yaomba utawala wa Kizayuni uondolewe katika michezo ya Olimpiki ya Paris

    Jul 23, 2024 03:01

    Kamati ya Olimpiki ya Palestina imemwandikia barua Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, ikitaka utawala wa Kizayuni uondolewe katika Michezo ya Olimpiki ya Paris.

  • Hizbullah ya Lebanon yashambulia vitongoji vya Wazayuni

    Hizbullah ya Lebanon yashambulia vitongoji vya Wazayuni

    Jul 21, 2024 23:01

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imekishambulia kwa makombora kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Dona, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).

  • Marekani na Ujerumani; Wauzaji silaha wakuu kwa utawala katili wa Israeli

    Marekani na Ujerumani; Wauzaji silaha wakuu kwa utawala katili wa Israeli

    Jul 21, 2024 03:55

    Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza katika ripoti yake kwamba kati ya asilimia 99 ya silaha zilizoagizwa na utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza kati ya mwaka 2019 na 2023, asilimia 69 ilitoka Marekani na asilimia nyingine 30 kutoka Ujerumani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS