Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • UNICEF: Asilimia 90 ya wakaazi wa Gaza wamekimbia makazi yao

    UNICEF: Asilimia 90 ya wakaazi wa Gaza wamekimbia makazi yao

    Jul 19, 2024 03:56

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 90 ya wakaazi wa Ukanda wa Gaza wameyakimbia makazi yao baada ya hujuma na uvamizi wa jeshi la Israel dhidi ya eneo hilo.

  • Shambulio la wanajeshi wa Israel kwenye Msikiti wa Al-Aqsa

    Shambulio la wanajeshi wa Israel kwenye Msikiti wa Al-Aqsa

    Jul 18, 2024 06:38

    Idara ya Wakfu wa Kiislamu ya Palestina katika mji wa Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala huo wamewazuia Waislamu kuingia katika eneo hilo takatifu kwa kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.

  • Iran: Kunyamazia kimya jinai za Wazayuni ni kuhamasisha jinai za wamwagaji damu

    Iran: Kunyamazia kimya jinai za Wazayuni ni kuhamasisha jinai za wamwagaji damu

    Jul 18, 2024 02:20

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amegusia jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na kulalamikia vikali kimya cha kuchupa mipaka cha jamii ya Kimataifa mbele ya jinai hizo za Wazayuni.

  • Holocaust ya kukaririwa kila siku huko Gaza

    Holocaust ya kukaririwa kila siku huko Gaza

    Jul 17, 2024 00:13

    Wazayuni wenye itikadi kali za kufurutu ada wanaotawala huko Tel Aviv, wakiongozwa na Benjamin Netanyahu, licha ya kushindwa kufikia malengo yao ya kijeshi katika Ukanda wa Gaza, wanaendelea kufanya mauaji mapya ya holocaust kila siku katika ukanda huo.

  • Shambulio la utawala wa Kizayuni huko Damascus, Syria

    Shambulio la utawala wa Kizayuni huko Damascus, Syria

    Jul 14, 2024 02:33

    Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio la jeshi la Kizayuni huko Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Kuongezeka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Kuongezeka vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala haramu wa Israel

    Jul 12, 2024 22:44

    Moja ya hatua za wazi za kuuwekea mashinikizo na kuutenga utawala wa Kizayuni, ambazo zimeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kutokana na kuendelea vita vya umwagaji damu vya utawala huo huko Ghaza, ni kupanuka kwa harakati ya kuisusia Israel katika ngazi za kimataifa.

  • Ansarullah: Jinai za Israel ni mtihani hatari kwa jamii ya mwanadamu

    Ansarullah: Jinai za Israel ni mtihani hatari kwa jamii ya mwanadamu

    Jul 12, 2024 03:41

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza tangu mwezi Oktoba 2023 ni mtihani hatari mno kwa jamii ya mwanadamu.

  • Ongezeko lisilo na mfano wake la Wazayuni kuhama kinyumenyume kutoka ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

    Ongezeko lisilo na mfano wake la Wazayuni kuhama kinyumenyume kutoka ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

    Jul 11, 2024 23:32

    Vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel vimeripoti kutokea ongezeko kubwa la wahajiri wa Kizayuni wanaohama kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu huko Palestina kuelekea nchi nyingine za dunia.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi

    Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi

    Jul 11, 2024 03:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba yake kuwa Utawala wa Kizayuni unapitia siku mbaya zaidi za historia yake bandia na kuwa mwishowe utawala huo utalazimika kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza.

  • Rashida Tlaib ataka kukamatwa wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis

    Rashida Tlaib ataka kukamatwa wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis

    Jul 10, 2024 08:53

    Mwakilishi wa chama cha Democratic nchini Marekani ameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iamuru kutiwa nguvuni wahusika wa mauaji ya kimbari huko Khan Yunis.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS