-
Kuendelea mvutano kati ya Waziri Mkuu na Jeshi la Kizayuni
Jul 10, 2024 04:53Mzozo kati ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu, na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuongezeka huko Tel Aviv.
-
Iran: Uzayuni ni dhihirisho la ubaguzi wa rangi
Jul 09, 2024 08:52Balozi na Mwakilishi wa Iran katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Geneva, Uswisi ameutaja Uzayuni kuwa dhihirisho la ubaguzi.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni abadan hauwezi kuwapigisha magoti Wapalestina
Jul 09, 2024 04:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina na kusema, Wazayuni kamwe hawawezi kuwapigisha magoti wananchi wa Palestina.
-
Iran yawalaumu vikali wanaouunga mkono utawala wa Kizayuni
Jul 08, 2024 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ni aibu kwa nchi na mtu yoyote kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na aibu hiyo haitofutika milele kwenye vipaji vya nyuso zao.
-
Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi
Jul 08, 2024 07:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Walowezi wa Kizayuni wachoma moto mashamba ya Wapalestina huko Ramallah
Jul 07, 2024 04:36Walowezi wa Kizayuni ambao kwa miaka mingi wanakalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina wameteketeza moto sehemu kubwa ya mashamba ya Wapalestina kaskazini mwa Ramallah.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kuongoza operesheni za kijeshi za Utawala wa Kizayuni
Jul 06, 2024 03:08Hizbullah ya Lebanon ililenga makao makuu ya kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kukiri kushindwa sera za Biden mkabala wa vita vya Gaza
Jul 05, 2024 10:12Maafisa 12 wa serikali ya Marekani ambao wamejiuzulu nyadhifa zao wakipinga na kulalamikia vita dhidi ya Gaza wamesisitiza katika taarifa yao kuwa sera za Rais Joe Biden wa Marekan mkabala wa Gaza zimefeli, na kutahadharisha kuwa kufeli kisiasa Washington mkabala wa Gaza ni tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani.
-
Muendelezo wa maandamano dhidi ya Wazayuni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni
Jul 04, 2024 03:40Maandamano bado yanaendelea katika nchi tofauti za dunia kupinga mauaji ya halaiki yanayofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi 2 wa Israel waangamizwa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Jul 03, 2024 22:55Wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliangamizwa jana katika oparesheni iliyotekelezwa na wanamapambano wa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.