-
Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina
May 24, 2024 04:25Siku ya Jumatano, Ikulu ya Marekani ailitoa taarifa ya kuunga mkono kwa pande zote utawala haramu Israel na kusema kuwa Rais Biden anaamini kwamba taifa la Palestina linapaswa kuanzishwa kupitia mazungumzo na si kutambuliwa kwa upande mmoja na baadhi ya nchi.
-
Kuendelea kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa Israel sambamba na kukiri kushindwa katika vita vya Gaza
May 23, 2024 23:05Mwenendo wa kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa utawala wa Kizayuni unaendelea sambamba na kuendelea kushindwa utawala huo ghasibu katika vita na mauaji yake ya kimbari huko Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Kizayuni laendelea kumwaga damu za Wapalestina katika kila pembe ya Ghaza
May 23, 2024 04:14Mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel yangali yanaendelea katika maeneo tofauti ya ukanda wa Ghaza.
-
Radiamali ya jamii ya kimataifa kwa ushirikiano wa utawala ghasibu wa Israel na Marekani
May 21, 2024 22:51Wawakilishi wa Misri na Russia katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza juu ya ulazima wa jamii ya kimataifa kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Hatua mpya ya Baraza la Wawakilishi la Marekani katika kuunga mkono utawala wa Kizayuni
May 19, 2024 07:55Alhamisi Mei 16, Baraza la Wawakilishi la Marekani, Congress, lilikosoa uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Joe Biden wa Marekani wa kuzuia kutumwa shehena ya silaha kwa Israel, na kupasisha mswada chini ya anwani "Misaada kwa ajili ya Usalama wa Israel", ambao ulimtaka Biden asizuie tena kutumwa silaha Israeli kwa kisingizio chochote kile.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Utawala wa Kizayuni umeshindwa huko Gaza
May 17, 2024 11:49Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel haujafanikiwa lolote katika mashambulizi yake huko Gaza isipokuwa kushindwa.
-
Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi
May 16, 2024 00:55Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Wapalestina elfu 10 wangali chini ya vifusi
May 15, 2024 08:29Taasisi ya Ulinzi wa Raia ya Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa Wapalestina elfu 10 bado wapo chini ya vifusi vya nyumba zilizobomolewa katika mashambulizi ya jeshi la Israel.
-
Al-Nakhalah: Muqawama ndilo chaguo bora zaidi la kukomesha kukaliwa kwa mabavu Palestina
May 13, 2024 00:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, Muqawama ndilo chaguo bora zaidi la kukomesha kukaliwa ardhi ya Palestina kwa mabavu.
-
UNRWA: Akiba ya chakula kusini mwa Ghaza inakaribia kwisha kabisa
May 13, 2024 00:34Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa indhari kwamba, ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingizwa Ghaza, hakutakuwa na chakula chochote cha kuwagaia wakazi wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.