Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Athari mbaya za kushadidi mvutano katika baraza la mawaziri la vita la utawala wa Israel

    Athari mbaya za kushadidi mvutano katika baraza la mawaziri la vita la utawala wa Israel

    Jan 06, 2024 02:50

    Vyanzo vya habari katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel) vimeripoti kuwa kikao cha baraza la mawaziri la vita la Benjamin Netanyahu kimetawaliwa na mvutano mkubwa na kwamba kimemalizika kwa mawaziri kurushiana maneno na malumbano makali.

  • Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa

    Israel yaendeleza mashambulizi yake ya anga na mizinga Ukanda wa Gaza leo Ijumaa

    Jan 05, 2024 08:51

    Ndege za kivita na mizinga ya utawala wa Kizayuni kwa mare nyingine tena leo Ijumaa zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa kuwa kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza ni sawa na mauaji ya halaiki

    Jan 04, 2024 08:00

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano alisema kuwa kuhamishwa kwa nguvu na kufukuzwa watu wa Gaza ni "mauaji ya halaiki" na kuzionya nchi zisishiriki katika hatua hiyo ya kijinai.

  • Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi

    Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi

    Jan 04, 2024 07:41

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.

  • Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza

    Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza

    Jan 04, 2024 02:20

    Katika kitendo cha jinai, utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua Saleh al-Arouri na wapiganaji wengine 7 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) huko Beirut. Uhalifu huu unaweza kuchambuliwa katika pande kadhaa.

  • Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya  Wazayuni

    Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya Wazayuni

    Jan 04, 2024 02:04

    Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo kadhaa ya Wazayuni karibu na mpaka wa Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).

  • Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa wafikia 501

    Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa wafikia 501

    Jan 03, 2024 23:40

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, idadi ya askarii wake waliouawa hadi sasa tangu ilipototekkelezwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa imefikia 501.

  • Wazayuni waendelea kufanya mauaji ya kinyama Ghaza, kutokea angani, ardhini na baharini

    Wazayuni waendelea kufanya mauaji ya kinyama Ghaza, kutokea angani, ardhini na baharini

    Dec 30, 2023 23:00

    Mashambulizi ya kinyama na kikatili ya utawala wa Kizayuni ya angani, ardhi na majini yanaendelea kwenye Ukanda wa Ghaza hasa katika maeneo ya katikati na kusini mwa ukanda huo.

  • Hatua mpya ya serikali ya  Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni

    Dec 30, 2023 07:42

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.

  • Mauaji ya watoto huko Gaza; Kazi ya siku zote ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mauaji ya watoto huko Gaza; Kazi ya siku zote ya utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 30, 2023 03:44

    Ripoti iliiyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) imesema kwamba mwaka 2023 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa watoto katika Ukingo wa Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS