Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Amir-Abdollahian: Uwepo wa dola la Kizayuni umeitia kwenye matatizo makubwa dunia

    Amir-Abdollahian: Uwepo wa dola la Kizayuni umeitia kwenye matatizo makubwa dunia

    Dec 02, 2023 07:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni kwenye Ukanda wa Ghaza zimeiweka kwenye alama ya kuuliza itibari ya jamii ya kimataifa na madai ya kupigania haki za binadamu ulimwenguni.

  • Yemen: Silaha zetu zitaendelea kuupiga utawala wa Kizayuni wa Israel

    Yemen: Silaha zetu zitaendelea kuupiga utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 02, 2023 07:12

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, silaha za nchi yake zimeelekezwa kwa adui Mzayuni ambaye ndiye adui nambari moja na kwamba utaendelea kuzitumia silaha hizo kuupiga utawala huo dhalimu.

  • Hizbullah: Muqawama hautoruhusu Wazayuni wafikie malengo yao Ghaza

    Hizbullah: Muqawama hautoruhusu Wazayuni wafikie malengo yao Ghaza

    Dec 02, 2023 07:09

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia kuanza upya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kusema kuwa, muqawama kamwe hautowaruhusu Wazayuni kufanikisha malengo yao haramu.

  • Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano

    Wito wa Umoja wa Mataifa kuhusu usitishaji vita wa kudumu huko Gaza na onyo la kuenea mapigano

    Nov 30, 2023 06:13

    Siku ya Jumanne, ikiwa ni siku ya tano ya usitishaji vita wa muda huko Gaza, Umoja wa Mataifa ulifanya vikao viwili, kimoja katika Baraza Kuu kuhadili vita kati ya Israel na Hamas na kingine katika Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati na Syria, ambapo vikao vyote viwili vilizungumzia kuenea mapigano katika eneo na kusisitiza juu ya udhrura wa kutekelezwa usitishaji vita wa kudumu.

  • Tel Aviv inataka kuongeza muda wa usitishaji vita

    Tel Aviv inataka kuongeza muda wa usitishaji vita

    Nov 29, 2023 08:21

    Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Iisrael (Kan) leo Jumatano imetangaza kuwa Israel inafanya jitiada za kurefusha muda wa usitishaji vita baada ya kumaliza siku mbili zilizoongezwa.

  • Hamas: Vyombo vya habari vinapasa kuakisi jinai za Israel Ukanda wa Gaza

    Hamas: Vyombo vya habari vinapasa kuakisi jinai za Israel Ukanda wa Gaza

    Nov 29, 2023 07:01

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imevialika vyombo vya habari kwa ajili ya kuakisi na kuonyesha jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kuitaka jamii ya kimataifa kuendelea kupinga na kuukosoa utawala wa Kizayuni ili usitishe uhalifu na jinai zake.

  • Mawaziri wenye misimamo mikali wa Netanyahu: Usitishaji vita wa kudumu ni sawa na kuvunjwa baraza la mawaziri

    Mawaziri wenye misimamo mikali wa Netanyahu: Usitishaji vita wa kudumu ni sawa na kuvunjwa baraza la mawaziri

    Nov 29, 2023 04:06

    Mawaziri wawili wenye misimamo mikali katika baraza la mawaziri la muungano wa Benjamin Netanyahu wamemtishia kwamba watashinikiza kuvunjwa baraza lake la mawaziri endapo usitishaji vita wa kudumu utafikiwa huko Gaza.

  • Wazayuni wakiri Kimbunga cha Al-Aqsa kimeangamiza askari na walowezi wao wengi

    Wazayuni wakiri Kimbunga cha Al-Aqsa kimeangamiza askari na walowezi wao wengi

    Nov 28, 2023 10:46

    Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa zaidi ya askari wake 1,000 wa walowezi wa utawala huo waliuawa wakati wa mapigano ya Kimbunga cha Al-Aqsa.

  • Makubaliano ya kusitisha vita  Gaza yarefushwa kwa siku 2 zaidi

    Makubaliano ya kusitisha vita Gaza yarefushwa kwa siku 2 zaidi

    Nov 28, 2023 03:42

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar na Harakati ya Hamas zimetangaza kuwa, makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza yameongezwa muda kwa siku mbili zaidi, kwa msingi wa masharti yale yale ya awali.

  • Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Ishara za kusambaratika Israel zimezidi kujitokeza wazi

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Ishara za kusambaratika Israel zimezidi kujitokeza wazi

    Nov 26, 2023 08:39

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, ishara za kusambaratika utawala wa Kiizayuni zimezidi kuonekana wazi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS