Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Taarifa ya Kongamano la Kimataifa la Mshikamano wa Dunia dhidi ya Maangamizi ya Kizazi ya utawala wa Kizayuni

    Taarifa ya Kongamano la Kimataifa la Mshikamano wa Dunia dhidi ya Maangamizi ya Kizazi ya utawala wa Kizayuni

    Nov 26, 2023 03:04

    Kongamano la Kimataifa la Mshikamano na Wanawake wa Palestina limetoa taarifa na kulaani maangamizi ya kiazi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.

  • Yemen: Uamuzi wetu wa kumfungia adui Mzayuni njia ya Bahari Nyekundu upo palepale

    Yemen: Uamuzi wetu wa kumfungia adui Mzayuni njia ya Bahari Nyekundu upo palepale

    Nov 25, 2023 22:55

    Naibu Waziri Mkuu wa Yemen anayehusika na masuala ya ulinzi ametangaza kwamba "uamuzi wetu wa kumfungia njia ya Bahari Nyekundu adui Mzayuni uko palepale na tumejiweka tayari kwa shambulio lolote".

  • Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina

    Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina

    Nov 25, 2023 08:17

    Hatua ya Uhispania na Ubelgiji ya kutangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina ni tukio muhimu kushuhudiwa barani Ulaya kuhusu kadhia ya Palestina. Hatua hii imeukasirisha sana utawala wa Kizayuni.

  • Afrika Kusini yavunja uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Afrika Kusini yavunja uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 23, 2023 03:48

    Kufuatia kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya taifa la Palestina, wabunge wa Afrika Kusini wamepiga kura ya kufunga ubalozi wa utawala wa Kizayuni nchini humo. Kwa uamuzi huo, ubalozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Afrika Kusini utafungwa, uhusiano wa kidiplomasia na utawala huo utakatwa na balozi wa utawala huo wa Kizayuni kutimuliwa kutoka Pretoria.

  • Je, kwa nini vita vya Gaza haviishi?

    Je, kwa nini vita vya Gaza haviishi?

    Nov 22, 2023 07:52

    Licha ya kupita siku 46 tangu kuanza vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza, lakini bado hakuna dalili zozote za kumalizika vita hivyo.

  • Meja Jenerali Baqeri: Kuua watoto si ushindi kwa Waisraeli waliofeli; Ushindi wa Wapalestina unakaribia

    Meja Jenerali Baqeri: Kuua watoto si ushindi kwa Waisraeli waliofeli; Ushindi wa Wapalestina unakaribia

    Nov 22, 2023 00:01

    Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Iran amesema kuwa mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya watu wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza hayana maana ya ushindi kwa utawala huo ghasibu, akibainisha kwamba ushindi wa mwisho wa taifa la Palestina uko kwenye upeo wa macho.

  • Rais wa Iran awaandikia barua wakuu wa nchi 50 kuhusu jinai za Israel huko Ghaza

    Rais wa Iran awaandikia barua wakuu wa nchi 50 kuhusu jinai za Israel huko Ghaza

    Nov 20, 2023 11:24

    Rais Ebrahim Raisi amewaandikia barua wakuu na viongozi wa nchi 50 duniani kuwahimiza kuwa na kauli moja kuhusu wajibu wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza.

  • HAMAS yaipongeza Yemen; San'a yasema: Hatutosita kukamata meli yoyote ya Wazayuni

    HAMAS yaipongeza Yemen; San'a yasema: Hatutosita kukamata meli yoyote ya Wazayuni

    Nov 20, 2023 11:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeipongeza Yemen na jeshi lake kwa hatua yao ya kishujaa ya kukamata meli ya utawala wa Kizayuni na kusema kuwa hatua hiyo ni mafanikio ya aina yake yaliyopatikana kutokana na damu za watu wasio na hatia zinazomwagwa na Israel huko Ghaza.

  • Kan'ani Chafi: Mashambulio dhidi ya hospitali yamefichua zaidi hulka ya kijinai ya utawala wa Kizayuni

    Kan'ani Chafi: Mashambulio dhidi ya hospitali yamefichua zaidi hulka ya kijinai ya utawala wa Kizayuni

    Nov 18, 2023 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mashambulio dhidi ya hospitali yanakinzana na vigezo vyote vya haki za binadamu, sheria za kimataifa na hati ya makubaliano ya Geneva na kubainisha kwamba, mashambulio ya utawala haramu wa Israel dhidi ya hospitali yamedhihirisha zaidi hulka na dhati ya kijinai ya utawala huo ghasibu.

  • Mamilioni ya Wairani waandamana kulaani jinai za Israel na kutetea watu wa Gaza

    Mamilioni ya Wairani waandamana kulaani jinai za Israel na kutetea watu wa Gaza

    Nov 18, 2023 10:01

    Watu wa Iran ya Kiislamu leo wamefanya maandamano makubwa kote nchini kuwatetea watoto wanaoendelea kuuawa wa Palestina sambamba na kulaani "mauaji ya watoto wachanga", "uhalifu", "mauaji ya kimbari", "mauaji ya halaiki", "ugaidi", "uhalifu wa kivita" na "maafa ya binadamu" yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS