• HAMAS yakanusha madai ya Netanyahu kuhusu kufichwa mateka mahospitalini

    HAMAS yakanusha madai ya Netanyahu kuhusu kufichwa mateka mahospitalini

    Nov 18, 2023 00:19

    Brigedi za al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimekanusha madai ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa Wapalestina walikuwa wamewaficha mateka Wazayuni kwenye hospitali za Ghaza ili kuhalalisha jinai zake dhidi ya watoto wachanga na wagonjwa kwenye hospitali hizo. 

  • Chuki dhidi ya Netanyahu zaongezeka, Wapalestina waendelea kujibu jinai za Wazayuni

    Chuki dhidi ya Netanyahu zaongezeka, Wapalestina waendelea kujibu jinai za Wazayuni

    Nov 17, 2023 07:04

    Matokeo ya karibuni kabisa ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, chuki na hasira za hata Wazayuni wenyewe zinazidi kuongezeka dhidi ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na umaarufu wa wapinzani wake ndani ya utawala wa Kizayuni unazidi kupanda.

  • Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini

    Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini

    Nov 16, 2023 23:47

    Uzembe wa Umoja wa Mataifa na hasa mkwamo katika Baraza la Usalama la umoja huo ambao una jukumu muhimu la kulinda amani na usalama wa kimataifa, kuhusu vita vya Gaza, jinai za kivita na mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni, umekosolewa vikali kimataifa.

  • Zaidi ya madaktari na wahudumu wa afya 200 wameuawa na Israel huko Gaza

    Zaidi ya madaktari na wahudumu wa afya 200 wameuawa na Israel huko Gaza

    Nov 16, 2023 08:33

    Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kwamba madaktari na wahudumu wa afya 202 wa mji huo wameuawa shahidi tangu kuanza kwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Isarel kwenye ukanda huo.

  • Rais wa Iran: Hakuna nchi yenye ujasiri wa kuishambulia Iran

    Rais wa Iran: Hakuna nchi yenye ujasiri wa kuishambulia Iran

    Nov 16, 2023 08:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran imefikia kiwango cha kujitosheleza katika sekta ya kijeshi na hakuna nchi inayoweza kuthubutu kuivamia ardhi ya nchi hii.

  • Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni

    Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni

    Nov 16, 2023 00:41

    Kuendelea jinai , mauaji ya kimbari na kutokomezwa kizazi cha wananchi wa Gaza na utawala wa Kizayuni ambazo zimesababisha maelfu ya Wapalestina kuuawa shahidi na kujeruhiwa, kumepelekea kushtadi kukosolewa siasa za upendeleo za serikali za Magharibi kwa Israel.

  • Uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni: Sababu ya chuki dhidi ya uyahudi ulimwenguni

    Uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni: Sababu ya chuki dhidi ya uyahudi ulimwenguni

    Nov 15, 2023 00:24

    Kushadidi jinai za Israel dhidi ya Wapalestina na uungaji mkono wa pande zote wa nchi za Magharibi kwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni kumepelekea kuongezeka chuki dhidi ya Uyahudi duniani, kiasi kwamba Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa katika barua yake amelaani ongezeko hilo la chuki dhidi ya uyahudi katika nchi hiyo na kuonya juu ya ukuaji usiovumilika wa chuki dhidi ya Wayahudi.

  • Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza

    Nov 14, 2023 05:53

    Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.

  • Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Nov 12, 2023 23:17

    Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.

  • Rais Raisi: Utawala wa Kizayuni ndio chimbuko la masaibu mengi ya dunia yakiwemo ya Afrika

    Rais Raisi: Utawala wa Kizayuni ndio chimbuko la masaibu mengi ya dunia yakiwemo ya Afrika

    Nov 11, 2023 23:51

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan na kuutaja utawala wa Kizayuni kuwa balaa kubwa kwa Umma wa Kiislamu na ulimwengu mzima.