-
Shambulio la kigaidi katika Shirika la Mafuta la Venezuela
Jan 24, 2021 04:43Rais wa Venezuela ametangaza kuwa, shambulio la kigaidi limejiri katika bomba la mafuta la shirika la mafuta na gesi la serikali la Petroleus de Venezuela na kulaani shambulio hilo ambalo limesababisha moto mkubwa.
-
Maduro; Venezuela imemshinda Trump
Jan 21, 2021 08:09Rais wa Venezuela amekutaja kuondoka huko White House Rais wa zamani wa Marekani kuwa ushindi kwa nchi yake.
-
Mwangwi wa kubwagwa Trump, wapinzani wa Venezuela wapata pigo jipya
Jan 08, 2021 03:34Baada ya Donald Trump kubwagwa katika uchaguzi wa rais wa Novemba 3, 2020 huko Marekani, sasa wafuasi, mashabiki na vibaraka wake wa nje, nao wameanza kuonja makali ya kuwa vibaraka wa Marekani.
-
Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran
Jan 03, 2021 03:06Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 20, 2020 07:59Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.
-
Sisitizo la Venezuela la kuimarisha uhusiano wa kistratijia na Iran
Nov 26, 2020 22:57Katika miezi michache iliyopita ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela umekuwa ukiimarika katika nyanja tofauti.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela asisitiza kuimarishwa uhusiano wa kistratejia na Iran
Nov 26, 2020 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitiza kuwa serikali za sasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela zimeandaa nyanja za kupanua na kuimarisha uhusiano wao na kwamba nchi yake ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano wa kistratejia na Iran.
-
Maduro: Guaido naye amembwaga Trump
Nov 09, 2020 08:31Rais wa Venezuela amesema kuwa katika kipindi cha miaka miwili ilimpatia serikali ya Donald Trump mwanasiasa aliyejitangaza kuwa rais wa Venezuela kiasi cha dola milioni 800 lakini hatimaye mwanasiasa huyo, Juan Guaido, pia amemsalitia Trump.
-
Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani
Nov 07, 2020 06:44Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.
-
Zarif: Ziara yangu Venezuela imekuwa na mafanikio makubwa
Nov 06, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ziara yake nchini Venezuela akiashiria jinsi ziara yake hiyo ilivyofanyika kwa ufanisi mkubwa.