Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Venezuela na jibu kali la Rais Maduro

    Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Venezuela na jibu kali la Rais Maduro

    Jul 01, 2020 10:23

    Tangu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela uliposhadidi, Umoja wa Ulaya umekuwa pamoja na Marekani dhidi ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.

  • Meli ya chakula ya Iran yafika kwenye eneo la majini la Venezuela licha ya vikwazo vya Marekani

    Meli ya chakula ya Iran yafika kwenye eneo la majini la Venezuela licha ya vikwazo vya Marekani

    Jun 22, 2020 07:47

    Meli ya Iran yenye chakula kwa ajili ya wananchi wa Venezuela imefika kwenye eneo la majini la nchi hiyo ya Amerika ya Latini licha ya Marekani kuiwekea vikwazo nchi hiyo na kuifungia njia zote. Hadi tunapokea habari hii, meli hiyo ilikuwa imekaribia kufika kwenye bandari ya Guaira.

  • Ndege ya Iran iliyobeba msaada wa  COVID-19 yawasili Venezuela

    Ndege ya Iran iliyobeba msaada wa COVID-19 yawasili Venezuela

    Jun 09, 2020 08:04

    Serikali ya Venezuela imesema ndege ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyobeba msaada wa dharura kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa wa COVID-19 iliwasili nchini humo jana Jumatatu.

  • Kiongozi Muadhamu awashukuru wafanyakazi wa meli za mafuta za Iran zilizotumwa Venezuela

    Kiongozi Muadhamu awashukuru wafanyakazi wa meli za mafuta za Iran zilizotumwa Venezuela

    Jun 09, 2020 03:40

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kufuatia harakati ya Kijihadi ya makamanda na wafanyakazi wa meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambazo zilibeba shehena za bidhaa za petroli na kuzifikisha nchini Venezuela.

  • Marekani na mwendelezo wa vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Marekani na mwendelezo wa vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela

    Jun 04, 2020 02:29

    Marekani imeapa kuzidisha vikwazo na kuishinikiza zaidi serikali ya Venezuela licha ya kufeli siasa zake za vikwazo dhidi ya nchi hiyo. Katika uwanja huu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema Washington imeyawekea vikwazo makampuni mengine manne ya mafuta ya Venezuela na ameitaka jamii ya kimataifa izidishe mashinikizo dhidi ya serikali ya Caracas hadi itakapoondolewa madarakani.

  • Cuba na Venezuala zalaani ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya watu weusi

    Cuba na Venezuala zalaani ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya watu weusi

    May 31, 2020 04:22

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Cuba na Venezula wamelaani vikali ukatili wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi pamoja na ujumbe wa kuchochea utumiaji mabavu alioutoa Rais Donald Trump.

  • Meli ya nne ya mafuta ya Iran yaingia katika maji ya Venezuela

    Meli ya nne ya mafuta ya Iran yaingia katika maji ya Venezuela

    May 28, 2020 10:07

    Meli ya nne ya mafuta ya Iran imewasili katika Eneo Mahsusi la Kiuchumi Baharini (EEZ) kwa lengo la kufikisha mafuta ya petroli na dizeli katika nchi hiyo inayokabiliwa na vikwazo vya Marekani.

  • Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu

    Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu

    May 28, 2020 02:23

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.

  • Waziri wa Mafuta wa Venezuela: Meli za mafuta za Iran ni nembo ya udugu na mshikamano

    Waziri wa Mafuta wa Venezuela: Meli za mafuta za Iran ni nembo ya udugu na mshikamano

    May 26, 2020 07:24

    Waziri wa Mafuta wa Venezuela ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutuma mafuta nchini humo na kusema kuwa meli za mafuta za Iran zilizotumwa nchini Venezuela licha ya vitisho na vikwazo vya Marekani, ni nembo ya udugu na mshikamano baina ya Tehran na Caracas.

  • Sisitizo la Venezeula kuhusu kutokuwa na maana vitisho vya Marekani dhidi ya meli za mafuta za Iran

    Sisitizo la Venezeula kuhusu kutokuwa na maana vitisho vya Marekani dhidi ya meli za mafuta za Iran

    May 25, 2020 10:31

    Wakati wa utawla wa rais Donald Trump wa Marekani, sera za mashinikizo ya pande zote dhidiya Venezeula zimeongezeka kwa kuwekewe vikwazo vingi nchi hiyo lengo likiwa ni kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro na kumleta madarakani kinara wa wapinzani Juan Guaid ambaye ni kibaraka wa Washington.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS