-
Kwa nini kizazi kipya cha Wamarekani hakiipendi tena Israel?
Jul 31, 2025 05:39Kwa miongo kadhaa, kuiunga mkono Israel nchini Marekani haukuwa tu msimamo wa kisiasa bali pia sehemu ya utambulisho wa taifa kwa raia wengi. Katika duru za kisiasa, vyombo vya habari, na taasisi za elimu ya juu, uaminifu kwa Israel ulionekana kama thamani ya pamoja ya Wamarekani. Lakini hali hiyo sasa imebadilika, hasa miongoni mwa vijana wa kizazi kipya.
-
Amir-Abdollahian: Mafanikio ya vijana wasomi wa Iran yanaonesha uwezo mkubwa wa ushirikiano na nchi rafiki
Jan 29, 2024 06:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameyataja mafanikio makubwa ya vijana wasomi wa nchi hii kuwa ni uthibitisho wa kuweko uwezo mkubwa wa kuendeleza diplomasia ya sayansi na ushirikiano katika uwanja wa teknolojia na nchi rafiki.
-
Kiongozi Muadhamu asifu nafasi ya vijana katika masuala muhimu ya nchi
Feb 20, 2021 13:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza nafasi ya kipekee ya tabaka la vijana katika masuala muhimu nchi na kueleza kuwa, uwepo wa kizazi hicho katika masuala hasasi ya nchi ni katika mafanikio na fakhari ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Uchunguzi: Vijana wa Kiislamu nchini Uingereza wanabaguliwa katika kila sekta
Sep 07, 2017 14:25Uchunguzi mpya wa hivi karibuni unaonyesha kwamba, vijana wa Kiislamu wanaoishi nchini Uingereza wamekuwa wahanga wakubwa wa vitendo vya ubaguzi kuanzia shuleni, vyuo vikuu na hata maeneo ya kazi.
-
Utafiti: Vijana wengi Marekani wanasema Trump si rais halali
Mar 19, 2017 07:18Utafiti unaonyesha kuwa asilimia kubwa ya vijana wa Marekani wanamtazama Donald Trump kama rais ambaye si halali, mpuuzi na asiyekuwa na haiba ya uongozi.
-
Msaidizi wa Papa Francis atuhumiwa kuwalawiti watoto
Jul 29, 2016 04:17Polisi nchini Australia inachunguza madai ya liwati dhidi ya Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.
-
Ayatullah Khamenei: Iran haina haja ya kuwa na uhusiano na Marekani
Jul 03, 2016 07:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepuuzilia mbali madai ya Washington kuwa iko tayari kufanya mazungumzo na Iran juu ya masuala mbalimbali ya kieneo.
-
Vijana: Wanasiasa ndio chanzo cha mizozo na matatizo Afrika
Jun 17, 2016 04:44Idadi kubwa ya vijana barani Afrika wanahisi kuwa chimbuko la matatizo, mikwaruzano na migogoro katika nchi za bara hilo imetokana na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na ubinafsi.