-
Kamanda wa Jeshi: Iran inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita
Sep 02, 2021 11:26Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran hivi sasa inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita inazohitaji.
-
Yemen yasisitiza kuendelea kujibu mapigo kwa hujuma na mashambulio ya Saudia
Jul 03, 2020 07:49Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesisitiza kuwa vyombo vya kijeshi na vya utawala vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia vitaendelea kushambuliwa madamu muungano huo vamizi ungali unaendeleza uchokozi na mzingiro dhidi ya Yemen.
-
Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jun 03, 2020 07:28Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.
-
Brig. Jen. Hajizadeh: Utayarifu wa kujihami Iran upo katika kiwango cha juu zaidi
May 24, 2020 10:46Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, utayarifu wa kulihami na kulilinda wa taifa la Iran hivi sasa upo katika kiwango cha juu zaidi katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq
May 05, 2020 11:20Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Iraq ameelezea amri ya Adil Abdul-Mahdi, Waziri Mkuu wa Iraq ya kuanzishwa operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Meja Jenerali Baqeri: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu uadui wowote ule
Jul 09, 2019 08:25Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako tayari kujibu kwa nguvu zote uadui wowote ule dhidi yake.
-
Waziri wa Ulinzi: Iran inajiimarisha kiulinzi ili kuzima uchokozi wa maadui
Mar 13, 2019 07:53Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa kiulinzi wa nchi hii utaendelezwa na kupanuliwa zaidi na kwa kasi kwa shabaha ya kuzuia chokochoko za maadui.
-
Licha ya hujuma ya kigaidi mjini Ahvaz, gwaride la kufana lafanyika katika miji yote ya Iran
Sep 22, 2018 16:52Licha ya shambulizi la kigaidi lililofanywa mjini Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran, gwaride la kufana la majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Kujihami Kutakatifu, limefanyika katika miji yote nchini.
-
Rouhani: Taifa la Iran kwa mara nyingine litawakatisha tamaa maadui
Sep 22, 2018 07:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa la Iran, sawa na miaka ya huko nyuma litakatisha tamaa na kumvunja moyo adui na kuongeza kuwa: Leo hakuna tena vita vya niaba bali Marekani imeingia katika medani kupambana moja kwa moja na taifa la Iran na inavunja ahadi zake.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi
Sep 09, 2018 07:30Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea China kufuatia mwaliko wa waziri mwenzake wa nchi hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi baina ya China na Iran.