-
Qassemi: Marekani haitofanikiwa kukwamisha ustawi wa kielimu wa Iran kwa kutumia mbinu ya vikwazo
Mar 24, 2018 00:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya karibuni ya Marekani ya kuwawekea vikwazo shakhsia 10 na shirika moja linaloendesha shughuli zake Iran na kusisitiza kuwa serikali ya Marekani haitofanikiwa kusimamisha au kuzuia ustawi wa kielimu wa wananchi wa Iran kwa kutumia mbinu ya vikwazo.
-
Uturuki: Marekani isithubutu kutuwekea aina yoyote ya vikwazo, sisi ni marafiki
Mar 10, 2018 23:57Serikali ya Uturuki kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo, imeitahadharisha Marekani juu ya kuiwekea vikwazo vya aina yoyote.
-
IGAD yaunga mkono vikwazo dhidi ya wanaovuruga amani Sudan Kusini
Mar 02, 2018 04:09Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imetangaza kuwa inaunga mkono hatua ya kuwekewa vikwazo viongozi na shakhsia wote wanaokwamisha jitihada za kupatiwa ufumbuzi mgogoro nchini Sudan Kusini.
-
Korea Kaskazini: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi yetu ni sawa na kututangazia vita
Feb 26, 2018 05:21Korea Kaskazini imesema kuwa, vikwazo vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni sawa na tangazo la vita dhidi ya Pyongyang.
-
Radiamali ya Hamas kwa hatua ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi yake
Feb 15, 2018 12:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja hatua ya Bunge la Wawakilishi la Marekani ya kupasisha sheria ya kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo kwa kisingizio kuwa Hamas inawatumia raia kama ngao ya binadamu, kuwa ni kitendo kinachokwenda sambamba na matakwa ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN yawawekea vikwazo jenerali wa jeshi Congo DR, makamanda wa waasi
Feb 03, 2018 12:04Kamati ya Vikwazo ya Umoja wa Mataifa imeyaweka majina manne ya makamanda wengine wa kijeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika orodha yake nyeusi.
-
Kim Jong-un: Vikwazo vya kimataifa dhidi ya Korea Kaskazini havina taathira yoyote
Jan 13, 2018 10:19Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, hata kama vikwazo vya kimataifa dhidi ya Pyongyang vitaendelea kwa karne nzima, nchi yake haitokabiliwa na matatizo makubwa na badala yake itasimama kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Korea Kaskazini yasema vikwazo vipya dhidi yake ni tangazo la vita
Dec 24, 2017 04:45Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya kuwekewa vikwazo vipya nchi hiyo na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni sawa na tangazo la vita dhidi yake.
-
Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo
Dec 10, 2017 03:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amezitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo vya kiuchumi kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 08, 2017 04:20Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.