Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Oct 28, 2017 23:38

    Serikali ya Marekani imechapisha orodha ya makampuni ya Russia iliyoyawekea vikwazo baada ya kuchapisha sheria mpya ya vikwazo dhidi ya Russia. Katika uwanja huo Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imechapisha orodha inayobainsha sheria hiyo ya vikwazo kuhusu Iran, Korea ya kaskazini na Russia na kutangaza kuyawekea vikwazo makampuni 39 ya kiulinzi na kiitelijinsia ya Russia.

  • Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar

    Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar

    Sep 19, 2017 03:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa nchi nne zilizoiwekea vikwazo Qatar ziko tayari kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Gholamali Khoshroo: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka makubaliano ya JCPOA

    Sep 14, 2017 22:57

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesaema kuwa, vikwazo vya aina yoyote vinakiuka msingi wa diplomasia na mazungumzo na haviwezi kusaidia chochote katika kupeleka mambo mbele.

  • Baraza la Usalama UN lapasisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini

    Baraza la Usalama UN lapasisha vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini

    Sep 11, 2017 23:21

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio lake la sita la bomu la nyuklia wiki iliyopita.

  • Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia

    Korea Kaskazini: Tutaizidishia mateso na machungu Marekani, ikiendelea kutufuatilia

    Sep 11, 2017 03:50

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itaendeleza njama zake ili kuongeza vikwazo dhidi yake katika Umoja wa Mataifa, basi Pyongyang itaizidishia Washington machungu na taabu.

  • New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    Sep 09, 2017 12:00

    Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.

  • Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Sep 05, 2017 23:11

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi katika sekta binafsi nchini Canada imetangaza rasmi kujiunga na 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji wa Israel' maarufu kwa jina la BDS.

  • Somalia yakataa

    Somalia yakataa "rushwa" ya Saudia, yagoma kujiunga na nchi zinazoisusia Qatar

    Aug 30, 2017 22:23

    Rais wa Somalia amekataa pendekezo la kupewa Euro milioni 68 lililotolewa na utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia mkabala wa kujiunga na muungano wa nchi zilizokata uhusiano wao na kuisusia Qatar.

  • Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Aug 10, 2017 23:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel amesema kuhusu vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia kwamba, hatua mpya za Marekani za kutaka kuibana zaidi Russia zinaweza kusababisha matatizo katika umoja wa nchi za Magharibi kuhusu mgogoro wa Ukraine.

  • Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Aug 06, 2017 23:14

    Umoja wa Ulaya umeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Russia kuhusiana na mzozo wa peninsula ya Crimea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS