-
Marekani imechanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran
Jun 24, 2019 03:34Utawala wa Marekani unaendelea kuchanganyikiwa katika sera zake kuhusu Iran na hali hiyo ilifikia kilele chake baada ya ndege isiyo na rubani (drone) ya kijasusi ya Marekani kutunguliwa na vikosi vya kijeshi vya Iran Alhamisi iliyopita.
-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 23, 2019 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.
-
UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi
Jun 19, 2019 03:09Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema takriban watu milioni 71 wamelazimika kuwa wakimbizi kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya
May 23, 2019 03:43Kuendelea vita nchini Libya kumezidisha machafuko na mgogoro katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kiasi kwamba Ghassan Salamé, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa kwamba, hatoi tahadhari kuhusu kutokea vita vya ndani na vya umwagaji damu tu, bali anatoa onyo la kusambaratika vipande vipande Libya.
-
Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
May 22, 2019 03:26Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameonya kuwa, taifa hilo lenye utajiri wa mafuta liko katika ncha ya kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vitaigawa nchi hiyo mapande mapande.
-
Kamanda wa IRGC: Iran haitaki vita, lakini pia haiogopi vita
May 19, 2019 10:00Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hussein Salami amesema kuwa Iran haitaki vita lakini pia wakati huo huo haiogopi vita.
-
Iran yasema vita havitaibuka katika eneo
May 19, 2019 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema hakuna vita vitakavyoibuka Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) pamoja na kuwepo hali ya taharuki baina ya Iran na Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani
May 14, 2019 23:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.
-
Kuendelea vita nchini Libya; kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo katika mji mkuu Tripoli
Apr 30, 2019 22:01Kuendelea vita na mapigano katika mji mkuu wa Libya Tripoli kumeifanya hali ya kibinadamu katika mji huo izidi kuwa mbaya siku baada ya siku.
-
Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen
Apr 29, 2019 23:32Tokea mwezi Machi 2015 Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, zimekuwa zikiendesha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen. Marekani na Uingereza pia zimekuwa na mchango mkubwa katika vita hivyo kwa kuzipa nchi mbili hizo za Kiarabu msaada mkubwa wa kilojistiki, habari za siri na kijeshi.