-
Marekani imeanzisha vita 400, robo barani Afrika na Asia Magharibi
Aug 13, 2022 11:21Utafiti mpya umefichua kuwa, zaidi ya robo ya vita vilivyoanzishwa na Washington katika historia ya Marekani vimefanyika katika nchi za Afrika na eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Khartoum yaituhumu Addis Ababa kuwanyonga wafungwa wa Sudan na kuonyesha miili yao
Jun 28, 2022 02:51Jeshi la Sudan limelitumu jeshi la Ethiopia kuwa limewanyonga wanajeshi 7 na raia mmoja wa Sudan waliokuwa wafungwa nchini humo, jambo ambalo limekanushwa na maafisa rasmi wa Ethiopia, wakieleza kuwa Addis Ababa itatoa tamko rasmi la kujibu madai hayo ya Sudan.
-
Uhaba wa chakula duniani na matokeo yake
May 25, 2022 02:16Linda Thomas Greenfield, balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, indhari ya uhaba wa chakula duniani inayotokana na vita vya Ukraine na Rusia imefikia katika kiwango cha juu kabisa na mazingira ya akthari ya watu ulimwenguni ya kupata chakula yamezidi kuwa magumu siku baada ya siku.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani kufuatia vita vya Ukraine
May 11, 2022 02:39Baa la njaa limegeuka na kuwa tatizo kubwa linaoukabili ulimwengu katika hali ya hivi sasa.
-
Taathira hasi ya vita vya Ukraine juu ya uchumi wa dunia
Apr 14, 2022 02:24Ikiwa zimepita siku 47 tangu kuanza vita vya Russia na Ukraine, hasara za kiuchumi za vita hivyo zinaongezeka siku baada ya nyingine, kadiri kwamba Shirika la Biashara Duniani WTO limetangaza katika ripoti yake ya karibuni kwamba vita hivyo vimeathiri vibaya uchumi wa dunia.
-
Wajerumani, Wacyprus na Wagiriki waandamana kuinga mkono Russia
Apr 05, 2022 08:12Wananchi wa Ujerumani, Cyprus na Ugiriki wamefanya maandamano wakiiunga mkono Russia na kupinga hatua zilizochukuliwa na madola ya Magharibi na vikwazo vyao dhidi ya nchi hiyo.
-
WFP yatahadharisha kuhusu uhaba wa chakula duniani
Apr 03, 2022 03:32Wakati vita vya Russia na Ukraine vikiendelea, upatikanaji wa chakula umekuwa mgumu zaidi kwa watu wengi duniani, huku msemaji wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) akisema vita vya Russia na Ukraine vimezidisha dola milioni 71 kwa mwezi kwenye gharama zinazotumiwa na shirika hilo la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kununua chakula.
-
Mkuu wa Benki ya Maendeleo Afrika: Vita vya Ukraine vinaweza kusababisha mgogoro wa chakula Afrika
Mar 30, 2022 03:00Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) ambayo ni mkopeshaji mkubwa barani humo anafanya kila awezalo kuzuia bara la Afrika lisikabiliwa na mgogoro wa chakula kutokana na athari mbaya za vita vya Rusia na Ukraine.
-
Mazungumzo ya amani ya CAR yamalizika pasina na matunda yoyote
Mar 29, 2022 01:30Mazungumzo ya amani katika nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyoathiriwa na vita vya ndani vinavyoendelea tangu mwaka 2013 yamemalizika pasina na kuchukuliwa na maamuzi muhimu.
-
Vita vya Ukraine na mgogoro wa chakula duniani
Mar 25, 2022 02:27Zaidi ya nchi 40 zimetia saini barua ya kutaka kuitishwe mkutano wa dharura wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ili kukabiliana na mgogoro wa chakula, ambao huenda ukazidishwa na vita vya Ukraine.