-
Waislamu wahanga wa siasa za chuki katika nchi za Magharibi; uhuru na usawa ni kaulimbiu tu
Nov 19, 2025 09:20Chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza imezidi kuwa mbaya zaidi, huku Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza ikionya kuhusu matokeo ya kuendeleza hali hii.
-
Kwa nini mataifa ya Ulaya yanaunga mkono chuki dhidi Uislamu?
Feb 04, 2025 23:09Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na mwenye chuki dhidi ya Uislamu, Rasmus Paludan kwa mara nyingine tena ameivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
-
Kuongezeka uhasama na chuki dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 28, 2024 03:28Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi wengi wa nchi za bara hilo juu ya matokeo ya mwenendo huo.
-
Hukumu ya kutimuliwa nchini Sweden mhalifu aliyevunjia heshima Qur'ani Tukufu
Feb 09, 2024 07:34Mahakama ya Uhajiri ya Sweden imetangaza kwamba, mtafuta hifadhi wa Iraq, ambaye amefanya vitendo kadhaa vya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu, atafukuzwa nchini humo.
-
Kuendelea siasa za chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya; kupigwa marufuku hijabu kazini
Nov 29, 2023 23:00Ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi, marejeo ya juu zaidi ya kushughulikia sheria za Umoja wa Ulaya imetoa uamuzi wa kupiga marufuku vazi la hijabu kwa wafanyakazi katika nchi wanachama wa umoja huo.
-
Kuendelea vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Sep 05, 2023 06:09Katika muendelezo wa siasa za chuki na propaganda chafu dhidi ya Uislamu (islamophobia) katika nchi za Magharibi, polisi ya Sweden imewatia mbaroni watu 15 kwa kujaribu kuzuia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Jul 27, 2023 22:55Tangu kuasisiwa kwake, utawala ghasibu wa Kizayuni sambamba na kupora ardhi za Wapalestina, umefanya jinai zisizohesabika dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, pamoja na kuchochea vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lapitishia azimio la kulaani uchomaji wa Qur'ani
Jul 14, 2023 23:16Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano liliidhinisha azimio lililopendekezwa na nchi za Kiislamu la kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kutaka uchunguzi ufanyike kuhusu jambo hilo pamoja na Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu kutakiwa kutoa ripoti kuhusu suala hilo.
-
Kisingizio cha Sweden cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu; chuki dhidi ya Uislamu nyuma ya pazia la uhuru wa kusema
Jan 23, 2023 23:21Tobias Billstrom, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sweden ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter akitoa radiamali ya hatua ya mataifa mbalimbali ya dunia ya kukosoa kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu wa Qur'ani.
-
Kushadidi ubaguzi dhidi ya Waislamu nchini Uingereza; kielelezo cha chuki dhidi ya Uslamu barani Ulaya
Sep 15, 2022 23:31Katika muendelezo wa ubaguzi dhidi ya Waislamu wanaoishi nchini Uingereza, vyombo vya habari vimeripoti wiki hii juu ya kuweko mpango wa kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu wanaoishi nchini Uingereza na kutangazwa kuwa raia wa daraja la pili.