-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Uswidi
Apr 19, 2022 06:25Ali Bahadori Jahromi, Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake binafsi wa kijamii akijibu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Uswidi kwamba: “Uhuru wa kidini umebadilishwa kuwa kukashifiwa dini za mbinguni, na uhuru wa kujieleza umekuwa chombo cha kueneza misimamo mikali na ubaguzi wa rangi katika nchi za Magharibi."
-
Kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya na vigezo vya undumakuwili kuhusu uhuru wa kujieleza
Apr 18, 2022 06:43Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu vimeongezeka katika miaka ya karibuni katika nchi za Ulaya. Kujitokeza na kuongezeka kwa harakati, vyama na watu wenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia kumekuwa na nafasi kuu katika uwanja huo.
-
Iran yalaani wito wa kuchomwa moto Qur'ani nchini Sweden
Apr 17, 2022 21:57Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden amesema: "Kuchoma moto Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mfano wa wazi wa sera za chuki na hujuma ya kibaguzi dhidi ya Uislamu."
-
Le Pen awaahidi wapiga kura kupiga marufuku hijabu na kuchinja wanyama Kiislamu Ufaransa
Apr 13, 2022 21:54Mgombea urais wa Ufaransa kwa tikiti ya chama chenye siasa kali cha mrengo wa kuli, Marine Le Pen, amesema iwapo atashinda kiti cha urais, atapiga marufuku kuchinja wanyama kwa njia ya Kiislamu ya Kiyahudi, na vilevile vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu.
-
Marine Le Pen ashambulia tena Uislamu na vazi la hijabu
Feb 17, 2022 04:34Mgombea uraisi wa Ufaransa wa chama cha kitaifa cha Rassemblement chenye siasa kali za mrengo wa kulia kwa mara nyingine ameeleza upinzani wake dhidi ya vazi la hijabu la wanawake wa Kiislamu.
-
Kushadidi chuki dhidi ya Uislamu na kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika ulimwengu wa Magharibi
Sep 14, 2021 22:02Kuenea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika ulimwengu wa Magharibi hivi sasa limegeuka na kuwa tatizo kubwa na la kijamii, tatizo ambalo limeibua na kushadidisha vitendo vya utumiaji mabavu katika jamii ya Magharibi.
-
Bunge la Ufaransa lapitisha muswada wa chuki dhidi ya Uislamu
Jul 25, 2021 22:07Bunge la Ufaransa Ijumaa lilipitisha muswada wenye chuki na ulio dhidi ya Uislamu uliopewa jina la eti 'mapambano dhidi ya wanaotaka kujitenga' licha ya kuwepo upinzani wa vyama kadhaa vya mrengo wa kushoto dhidi ya muswada huo.
-
Mauaji ya familia ya Kiislamu nchini Canada, nembo ya Islamophobia katika nchi za Magharibi
Jun 09, 2021 07:00Kufuatia mauaji ya kikatili ya familia moja ya Kiislamu kwenye mji wa London katika jimbo la Ontario nchini Canada, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Justin Trudeau amesema anahidi kuwa, atachukua hatua zaidi za kukabiliana na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia.
-
Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani
May 11, 2021 20:14Baraza la Juu la Bunge la Ujerumani (Bundesrat) limepasisha sheria inayowapiga marufuku wafanyakazi wa serikali na polisi kuvaa vazi la hijabu.
-
Wasiwasi kuhusu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Uswisi
Mar 10, 2021 21:18Kuenea chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi na hasa barani Ulaya katika miaka ya karibuni kumeibua matukio na radiamali tofauti.