Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita dhidi ya Uislamu

  • Maandamano ya Paris Ufaransa ya kupinga ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu

    Maandamano ya Paris Ufaransa ya kupinga ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu

    Feb 15, 2021 12:26

    Mwenedo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa ungali unaendelea ambapo Waislamu wa nchi hiyo wamekuwa wakikabiliwa na mashinikizo makubwa.

  • Maandamano yaendelea Paris Ufaransa, kupinga ukandamizaji dhidi ya Waislamu

    Maandamano yaendelea Paris Ufaransa, kupinga ukandamizaji dhidi ya Waislamu

    Feb 15, 2021 07:52

    Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga sheria kali za kuwakandamiza Waislamu nchini humo yanaendelea hasa dhidi ya mpango mpya wa nchi hiyo ya kuwabana zaidi ya Waislamu.

  • Mashambulio yatokanayo na chuki dhidi ya Uislamu yamekithiri nchini Ujerumani

    Mashambulio yatokanayo na chuki dhidi ya Uislamu yamekithiri nchini Ujerumani

    Feb 09, 2021 05:58

    Takwimu rasmi zilizotolewa nchini Ujerumani zinaonyesha kuwa, katika mwaka uliopita wa 2020 nchi hiyo ilishuhudia ongezeko kubwa la hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu na taasisi za Kiislamu.

  • Kuendelea vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Sweden

    Kuendelea vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Sweden

    Nov 17, 2020 12:24

    Mwendesha Mashtaka wa Sweden amesema kuwa kuchomwa moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani si hatia na hivyo kusimamisha uchunguzi uliokuwa ukiendelea juu ya kuvunjiwa heshima kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu.

  • Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Nov 16, 2020 02:33

    Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.

  • Amnesty: Kwa undumakuwili ilionao, Ufaransa haiwezi kudai inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni

    Amnesty: Kwa undumakuwili ilionao, Ufaransa haiwezi kudai inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni

    Nov 15, 2020 04:02

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limekosoa mtazamo wa kiundumakuwili wa serikali ya Ufaransa na kusisitiza kuwa, serikali hiyo haiwezi kudai kwamba inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni.

  • Watu kadhaa watiwa mbaroni Ujerumani kwa kupanga njama za kuwashambulia Waislamu

    Watu kadhaa watiwa mbaroni Ujerumani kwa kupanga njama za kuwashambulia Waislamu

    Nov 14, 2020 12:11

    Maafisa wa mahakama nchini Ujerumani wametangaza kuwa, watu kadhaa wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kupanga mashambulio dhidi ya Waislamu na misikiti katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

  • Juhudi za Ufaransa za kujaribu kupunguza hasira ya Waislamu duniani

    Juhudi za Ufaransa za kujaribu kupunguza hasira ya Waislamu duniani

    Nov 10, 2020 02:39

    Uadui wa viongozi wa Ufaransa dhidi ya Uislamu, umeamsha hasira ya Waislamu katika pembe zote za dunia kadiri kwamba nchi nyingi za Kiislamu zimelaani msimamo huo wa Wafaransa, bali zimeanzisha harakati za kususia bidhaa zinazotengenezwa Ufaransa ili kuonyesha kuchukizwa kwao na uadui huo wa viongozi wa Paris.

  • Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza

    Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza

    Nov 07, 2020 02:29

    Kuongezeka vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Mtukufu (saw) nchini Ufaransa na kuungwa mkono vitendo hivyo na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kutetea uhuru wa kusema na kujieleza, ni jambo ambalo limeamsha hasira kubwa ya ulimwengu wa Kiislamu.

  • Kuvunjiwa heshima Mtume SAW na Magharibi; kulivyoanzia, sababu zake na msimamo wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Kuvunjiwa heshima Mtume SAW na Magharibi; kulivyoanzia, sababu zake na msimamo wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 31, 2020 08:04

    Kitendo cha jarida moja la Ufaransa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron cha kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW kimekabiliwa na wimbi kubwa la hisia za uchungu katika Ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS