Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • Papa: Sera ya US ya kutenganisha watoto wa wahajiri na wazazi wao ni ukatili

    Papa: Sera ya US ya kutenganisha watoto wa wahajiri na wazazi wao ni ukatili

    May 29, 2019 03:46

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameitaja sera ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri kuwa ni ukatili.

  • Mamia ya wahajiri wa Kiafrika waokolewa katika maji ya pwani ya Libya

    Mamia ya wahajiri wa Kiafrika waokolewa katika maji ya pwani ya Libya

    May 24, 2019 07:15

    Gadi ya Pwani ya Libya imetangaza habari ya kuokoa mamia ya wahajiri wa Kiafrika katika operesheni mbili za leo Ijumaa nje kidogo ya mji mkuu Tripoli.

  • Makumi ya wahajiri wa Kiafrika waghariki katika pwani ya Tunisia

    Makumi ya wahajiri wa Kiafrika waghariki katika pwani ya Tunisia

    May 10, 2019 22:30

    Makumi ya wahajiri wamepoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika pwani ya Tunisia, wakitokea pwani ya Libya.

  • Wahamiaji 151 Waafrika waokolewa Morocco kwenye Bahari ya Mediterania

    Wahamiaji 151 Waafrika waokolewa Morocco kwenye Bahari ya Mediterania

    May 06, 2019 03:40

    Jeshi la majini la Morocco limetangaza kuwa limewaokoa wahamiaji haramu 151 kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika wakiwa katika bahari ya Mediterania walipokuwa wakijaribu kuingia barani Ulaya.

  • Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco

    Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco

    Apr 28, 2019 02:44

    Kwa akali wahajiri 16 wanaotoka katika nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Melilla, kaskazini mwa Morocco.

  • IOM: Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa soka Yemen

    IOM: Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa soka Yemen

    Apr 26, 2019 09:56

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa mpira wa miguu katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.

  • Papa azikosoa nchi zinazojenga ukuta ili kuwafungia nje wahajiri

    Papa azikosoa nchi zinazojenga ukuta ili kuwafungia nje wahajiri

    Apr 01, 2019 10:36

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewakosoa vikali viongozi wanaojenga ukuta katika mpaka wa nchi zao eti kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri.

  • Wahajiri haramu zaidi ya 100 watiwa mbaroni nchini Libya

    Wahajiri haramu zaidi ya 100 watiwa mbaroni nchini Libya

    Mar 29, 2019 21:49

    Kambi moja ya jeshi la Libya imetangaza kuwa wahajiri haramu zaidi ya 100 wametiwa mbaroni katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo.

  • Venezuala: Marekani inafanya njama chafu za kuwapatia silaha wahajiri wa nchi hiyo nje ya nchi

    Venezuala: Marekani inafanya njama chafu za kuwapatia silaha wahajiri wa nchi hiyo nje ya nchi

    Mar 01, 2019 12:00

    Mwakilishi wa Venezuela katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hivi sasa Marekani inawapa silaha wahajiri wa nchi hiyo ili waunde kundi la wanamgambo kwa lengo la kuishambulia Venezuela.

  • Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa

    Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa

    Feb 27, 2019 04:37

    Wizara ya Afya ya Marekani imepokea malalamiko zaidi ya 4,500 yanayohusu kudhalilishwa kingono watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS