-
Wahamiaji 151 Waafrika waokolewa Morocco kwenye Bahari ya Mediterania
May 06, 2019 03:40Jeshi la majini la Morocco limetangaza kuwa limewaokoa wahamiaji haramu 151 kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara barani Afrika wakiwa katika bahari ya Mediterania walipokuwa wakijaribu kuingia barani Ulaya.
-
Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco
Apr 28, 2019 02:44Kwa akali wahajiri 16 wanaotoka katika nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Melilla, kaskazini mwa Morocco.
-
IOM: Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa soka Yemen
Apr 26, 2019 09:56Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, maelfu ya wahajiri wa Kiafrika wanazuiliwa katika uwanja wa mpira wa miguu katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.
-
Papa azikosoa nchi zinazojenga ukuta ili kuwafungia nje wahajiri
Apr 01, 2019 10:36Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewakosoa vikali viongozi wanaojenga ukuta katika mpaka wa nchi zao eti kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri.
-
Wahajiri haramu zaidi ya 100 watiwa mbaroni nchini Libya
Mar 29, 2019 21:49Kambi moja ya jeshi la Libya imetangaza kuwa wahajiri haramu zaidi ya 100 wametiwa mbaroni katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi hiyo.
-
Venezuala: Marekani inafanya njama chafu za kuwapatia silaha wahajiri wa nchi hiyo nje ya nchi
Mar 01, 2019 12:00Mwakilishi wa Venezuela katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hivi sasa Marekani inawapa silaha wahajiri wa nchi hiyo ili waunde kundi la wanamgambo kwa lengo la kuishambulia Venezuela.
-
Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa
Feb 27, 2019 04:37Wizara ya Afya ya Marekani imepokea malalamiko zaidi ya 4,500 yanayohusu kudhalilishwa kingono watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini humo.
-
Wahajiri 30 wafa maji baada ya boti kuzama pwani ya Djibouti
Jan 30, 2019 11:04Maiti 30 zimepatikana zikielea majini baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba makumi ya wahajiri kuzama katika pwani ya Djibouti.
-
Wahajiri 117 wahofiwa kufa maji katika pwani ya Libya
Jan 20, 2019 04:22Wahajiri zaidi ya 100 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika pwani ya Libya.
-
Wahajiri waendelea kuwa wahanga wa sera za kuwapiga vita wahamiaji za Trump
Jan 19, 2019 03:09Sera za kupiga vita wahajiri za Rais Donald Trump wa Marekani zimeendelea kutesa na kuwatia mashakani mamia ya watu baada ya polisi wa mpakani wa jimbo la New Mexico huko kusini magharibi mwa Marekani kuwatia nguvuni zaidi ya wahajiri 340 katika kituo cha mpakani cha Antelope Wells.