Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • Wahajiri haramu 4400 waokolewa katika maji ya Mediterranean siku mbili pekee

    Wahajiri haramu 4400 waokolewa katika maji ya Mediterranean siku mbili pekee

    May 20, 2017 02:54

    Duru za habari nchini Libya zimetangaza kuwa kikosi cha gadi ya pwani ya Libya na Italia kimefanikiwa kuokoa karibu wahajiri haramu 400 katika kipindi cha siku mbili kutoka katika maji ya bahari ya Mediterranean.

  • HRW yakosoa muswada wa sheria dhidi ya wahamiaji Marekani

    HRW yakosoa muswada wa sheria dhidi ya wahamiaji Marekani

    May 19, 2017 03:11

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali muswada uliopendekezwa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani, ambao ukipasishwa na kuwa sheria basi vyombo vya dola vitaongezewa nguvu na mamlaka ya kuwabana zaidi wahamiaji haramu nchini humo.

  • UNICEF: Watoto laki 3 wakimbia nchi zao bila usimamizi wa yeyote

    UNICEF: Watoto laki 3 wakimbia nchi zao bila usimamizi wa yeyote

    May 19, 2017 02:55

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto zaidi ya laki tatu kote duniani aghalabu yao wakitokea nchi za Afrika wamelazika kuwa wakimbizi na wahajiri pasina usimamizi wa mtu yeyote katika muda wa miaka miwili iliyopita.

  • Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    Wahajiri 7 wafa maji, 484 waokolewa katika bahari ya Mediterania

    May 14, 2017 03:08

    Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri saba wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 400 wakiokolewa katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya jana Jumamosi.

  • Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya

    May 09, 2017 03:41

    Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametangaza kuwa mahakama hiyo imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai na uhalifu waliofanyiwa wahajiri nchini Libya.

  • Mamia ya wahajiri wahofiwa kufariki baada ya boti kuzama katika bahari ya Mediterania

    Mamia ya wahajiri wahofiwa kufariki baada ya boti kuzama katika bahari ya Mediterania

    May 08, 2017 11:43

    Wahajiri zaidi ya 200 wanahofiwa kuwa wamefariki dunia katika bahari ya Mediterania katika muda wa juma hili, kulingana na ushahidi uliotolewa na manusura na baada ya maiti kadhaa ikiwemo mtoto mdogo kuopolewa kwenye ufukwe wa pwani ya Libya.

  • Wahajiri elfu 6 waokolewa katika bahari ya Mediterania ndani ya masaa 48

    Wahajiri elfu 6 waokolewa katika bahari ya Mediterania ndani ya masaa 48

    May 07, 2017 03:08

    Gadi ya Pwani ya Italia imesema wahajiri elfu 6 wameokolewa katika kipindi cha siku mbili zilizopita katika bahari ya Mediterania wakijaribu kuelekea barani Ulaya.

  • Morocco yaituhumu Algeria kuwatesa wakimbizi wa Syria

    Morocco yaituhumu Algeria kuwatesa wakimbizi wa Syria

    Apr 23, 2017 03:24

    Serikali ya Morocco imeilaumu Algeria kwa kuwazingira wakimbizi wa Syria katika "mazingira yasiyo ya kibinadamu" kwenye mpaka wa kusini mwa Algeria.

  • Watoto wahajiri 150 waaga dunia katika bahari ya Mediterania

    Watoto wahajiri 150 waaga dunia katika bahari ya Mediterania

    Apr 21, 2017 11:38

    Watoto wahajiri zaidi ya 150 waliokuwa wakielekea Ulaya wameaga dunia katika bahari ya Mediterania.

  • Wavuvi wa Libya wawakuta pwani wahajiri 28 wakiwa wameaga dunia

    Wavuvi wa Libya wawakuta pwani wahajiri 28 wakiwa wameaga dunia

    Apr 19, 2017 02:42

    Wavuvi wa Libya wamepata miili ya wahajiri 28 katika pwani ya nchi hiyo ambao wanasadikiwa kuwa waliaga dunia kutokana na kiu na njaa, baada ya boti yao kupasuka katika pwani ya mji wa Sabratha. Hayo yameelezwa na afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS