-
Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongeza nchini Marekani katika kipindi cha uongozi wa Trump
Sep 18, 2019 03:18Baraza la Uhusiano wa Kiislamu la Marekani limetangaza kuwa, hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu nchini humo yameongezeka mno katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump.
-
Independent: India inafanya mikakati ya kuwapokonya uraia mamilioni ya Waislamu
Aug 19, 2019 22:05Gazeti la Independent linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kwamba, serikali ya India inapanga mikakati ya kuwapokonya uraia watu wasiopungua milioni nne aghlabu yao wakiwa ni Waislamu na kuwatambua kuwa ni wahajiri wa kigeni.
-
Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki
Aug 13, 2019 02:59Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu
Aug 11, 2019 06:22Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.
-
Kupigwa marufuku shughuli za Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na taathira zake
Jul 29, 2019 05:32Wakati Waislamu wa Nigeria wakiendeleza jitihada za kuhakikisha kwamba kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huru, Rais wa nchi hiyo amepiga marufuku shughuli zote za harakati hiyo.
-
Baraza la Kiislamu nchini Ujerumani lalalamikia miamala mibaya ya polisi dhidi ya Waislamu
Jun 06, 2019 22:37Baraza Kuu la Waislamu nchini Ujerumani limekosoa mimala ya ukandamizaji ya maafisa wa polisi wa nchi hiyo kuwalenga Waislamu.
-
Waislamu Uganda kuendelea kushinikiza mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo
Jun 06, 2019 01:48Viongozi wa Kiislamu nchini Uganda wamesisitiza kuwa wataendelea kushinikiza utekelezwaji wa mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo.
-
Wanazuoni 80 wa Kiislamu wa nchi za Magharibi waitaka Saudia isiwanyonge maulama
Jun 04, 2019 23:30Wanazuoni 80 wa Kiislamu wanaoishi katika nchi za Magharibi wameuandikia barua utawala wa kifalme wa Saudi Arabia wakiutaka usitekeleze hukumu ya kifo dhidi ya maulama watayu wa nchi hiyo wanaoshikiliwa gerezani.
-
Waislamu walaumiwa kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao + Sauti
May 27, 2019 11:55Waislamu wa zama hizi wamelaumiwa kwa kumalizana wenyewe kwa wenyewe na kumsahau adui yao halisi. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa kamili.
-
Mbunge avaa mtandio Bungeni kupinga marufuku ya hijabu Austria
May 18, 2019 10:07Mbunge mmoja wa kujitegemea huko Austria amevaa mtandio kichwani ndani ya Bunge la nchi hiyo kulalamikia na kupinga muswada tata wa sheria inayotaka kupiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa mabinti wa Kiislamu wa shule za msingi katika nchi hiyo ya Ulaya.