Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa

    Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa

    Jul 17, 2024 11:03

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshikamano unaoonekana hivi sasa na kupungua mivutano katika safu za Waislamu ni katika mafanikio makubwa ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • IHRC: Waislamu ni nguvu yenye ushawishi katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza

    IHRC: Waislamu ni nguvu yenye ushawishi katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza

    Jul 17, 2024 03:40

    Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) amesema Waislamu ni nguvu yenye taathira katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza.

  • Iran katika maombolezo ya Tasua, yaitaka dunia ikabiliane na jinai za Israel

    Iran katika maombolezo ya Tasua, yaitaka dunia ikabiliane na jinai za Israel

    Jul 15, 2024 13:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran sanjari na kutoa mkono wa pole kwa Waislamu kote duniani ambao hii leo wapo katika maombelezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo za kusimamisha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum

    Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum

    Jun 25, 2024 02:55

    Leo Jumanne tarehe 25 Juni 2024 inayosadifiana na tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria ni Sikukuu ya Idd Sayyid Ghadir Khum, moja ya Idd kubwa za Waislamu.

  • Uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu waongezeka Ulaya baada ya vita vya Gaza

    Uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu waongezeka Ulaya baada ya vita vya Gaza

    Jun 21, 2024 02:15

    Ripoti za chuki na ukiukwaji wa haki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kuogofya katika nchi za Ulaya tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7, 2023.

  • Russia yaruhusu wanawake Waislamu wanaoomba uraia kutumia picha za vazi la Hijabu

    Russia yaruhusu wanawake Waislamu wanaoomba uraia kutumia picha za vazi la Hijabu

    May 01, 2024 10:52

    Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.

  • Tofauti ya Siku ya Quds ya mwaka huu na ya miaka iliyopita

    Tofauti ya Siku ya Quds ya mwaka huu na ya miaka iliyopita

    Apr 03, 2024 02:13

    Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu inakaribia katika hali ambayo siku hiyo itakuwa tofauti kabisa na siku nyingie za Quds za karne hii ya 21.

  • Chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka Japan tangu Israel ilipoanza kuishambulia kijeshi Ghaza

    Chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka Japan tangu Israel ilipoanza kuishambulia kijeshi Ghaza

    Mar 07, 2024 12:00

    Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Waislamu nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.

  • Biden aambiwa: Sitisha vita Gaza iwapo unataka kura za Waislamu

    Biden aambiwa: Sitisha vita Gaza iwapo unataka kura za Waislamu

    Feb 18, 2024 11:05

    Meya wa jiji la Dearborn, kaunti ya Wayne katika jimbo la Michigan nchini Marekani amesema Rais Joe Biden wa hiyo hatapata kura za Waislamu katika uchaguzi ujao nchini humo, iwapo ataendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza.

  • Chuo Kikuu cha Harvard cha US kuchunguzwa kwa kuwabagua wanachuo Waislamu

    Chuo Kikuu cha Harvard cha US kuchunguzwa kwa kuwabagua wanachuo Waislamu

    Feb 08, 2024 03:02

    Chuo Kikuu cha Harvard cha Marekani kinakabiliwa na uchunguzi wa serikali, baada ya wanachuo Waislamu na Waarabu katika chuo hicho kuwasilisha faili la kulalamikia vitendo vya dhulma, unyanyasaji, chuki na ubaguzi dhidi yao chuoni hapo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS