-
Russia yaruhusu wanawake Waislamu wanaoomba uraia kutumia picha za vazi la Hijabu
May 01, 2024 10:52Serikali ya Russia imelegeza masharti ya kanuni zinazohusu maombi ya raia wa kigeni wanaoomba uraia, na itaruhusu mwanamke wa Kiislamu kutumia picha za paspoti zinazomuonesha akiwa amevaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo.
-
Tofauti ya Siku ya Quds ya mwaka huu na ya miaka iliyopita
Apr 03, 2024 02:13Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu inakaribia katika hali ambayo siku hiyo itakuwa tofauti kabisa na siku nyingie za Quds za karne hii ya 21.
-
Chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka Japan tangu Israel ilipoanza kuishambulia kijeshi Ghaza
Mar 07, 2024 12:00Mwanaakademia wa Kijapan, Kayyim Naoki Yamamoto amesema, hisia za chuki dhidi ya Waislamu nchini Japan zinaongezeka tangu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kikatili na mashambulio ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
-
Biden aambiwa: Sitisha vita Gaza iwapo unataka kura za Waislamu
Feb 18, 2024 11:05Meya wa jiji la Dearborn, kaunti ya Wayne katika jimbo la Michigan nchini Marekani amesema Rais Joe Biden wa hiyo hatapata kura za Waislamu katika uchaguzi ujao nchini humo, iwapo ataendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza.
-
Chuo Kikuu cha Harvard cha US kuchunguzwa kwa kuwabagua wanachuo Waislamu
Feb 08, 2024 03:02Chuo Kikuu cha Harvard cha Marekani kinakabiliwa na uchunguzi wa serikali, baada ya wanachuo Waislamu na Waarabu katika chuo hicho kuwasilisha faili la kulalamikia vitendo vya dhulma, unyanyasaji, chuki na ubaguzi dhidi yao chuoni hapo.
-
Hujuma dhidi ya Waislamu, misikiti Ujerumani zimeongezeka tokea Oktoba 7
Jan 19, 2024 07:35Hisia za chuki dhidi ya Uislamu, Waislamu na matukufu yao zimeripotiwa kuongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Ujerumani, tangu utawala haramu wa Israel ulipoanzisha mashambulio yake ya kinyama dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7 mwaka uliopita 2023.
-
Waislamu Marekani waapa "kumdampu" Biden katika uchaguzi wa 2024 kwa sababu ya uungaji mkono wake kwa mauaji ya Israel
Dec 04, 2023 02:59Waislamu katika majimbo muhimu ya Marekani wamezindua kampeni ya #AbandonBiden kutokana na kukataa kwa rais huyo wa Merekani kutoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya kinyama ya Israel huko Ukanda wa Gaza.
-
Washington Post: Chama tawala India kinatumia vita vya Israel dhidi ya Gaza kuwadhihirisha Waislamu kuwa ni mashetani
Dec 01, 2023 02:29Gazeti la Washington Post la Marekani limetahadharisha kuhusu mienendo ya chama tawala nchini India na jinsi kinavyotumia vibaya vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kuwadhihirisha Waislamu kuwa ni 'mashetani'.
-
Polisi ya Ujerumani yavamia vituo 54 vya Kiislamu
Nov 18, 2023 03:49Jeshi la polisi la Ujerumani juzi Alkhamisi lilishambulia vituo zaidi ya 50 vya Waislamu kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH); huku mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
40% ya wanaume Waislamu Ujerumani wanakabiliwa na ubaguzi
Nov 08, 2023 06:09Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.