-
Iran: Wakaguzi wa IAEA wametimuliwa kutokana na mienendo ya uhasama
Oct 04, 2023 13:20Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) waliofukuzwa hapa nchini wanatoka katika nchi tatu za Ulaya; na kwamba walitumuliwa kutokana na mienendo yao ya kiuhasama na misimamo ya kisiasa dhidi ya Tehran.
-
Wabunge wa Iran: IAEA imepoteza itibari ya kiufundi
Jun 13, 2022 10:58Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imesema hatua ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ya kupasisha azimio dhidi ya Iran imeonesha wazi kuwa taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa imepoteza itibari yake ya kiufundi.
-
Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu
Jun 09, 2022 23:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA cha kupasisha azimio dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili litatoa jibu mwafaka na madhubuti kwa hatua hiyo.
-
Mkurugenzi mkuu wa wakala wa IAEA kuitembelea Iran kesho
Mar 04, 2022 02:40Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatazamiwa kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kesho Jumamosi kwa ziara rasmi ya kikazi.
-
Amir Abdullahiyan: Inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa IAEA
Nov 25, 2021 08:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema inawezekana kufikia mapatano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake
Jun 27, 2021 08:10Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) halitaukabidhi Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) video zilizonakili taarifa za taasisi hiyo ya Iran, kwa kuwa muhula uliokuwa umeainishwa umemalizika, wala haujarefushwa tena.
-
IAEA yataka washiriki wa JCPOA wakumbatie fursa waliyopewa na Iran
Mar 17, 2021 06:33Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema makubaliano ya nyuklia ya Iran ni 'magumu lakini yanatekelezeka' huku akizitaka pande husika za JCPOA kukumbatia muhula wa miezi mitatu ziliopewa na Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuyanusuru mapatano hayo.
-
Mkuu wa IAEA: Iran inataka kuona dunia yenye usalama na uthabiti
Dec 17, 2020 07:38Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema hamu kubwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuona usalama na uthabiti vinatawala duniani kote, na kwamba Tehran iko tayari kufanya mazungumzo amilifu na mataifa ambayo yapo tayari kufuata njia ya mazungumzo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA akiri mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Oct 11, 2020 07:55Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kuwa, kinyume na inavyodaiwa na Marekani, mpango wa nyuklia wa Iran unafuatilia malengo ya amani.
-
Taarifa ya Bunge la Iran ya kulaani azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 22, 2020 07:13Wajumbe wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, jana Jumapili walitoa taarifa wakilaani azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran na kusema azimio hilo ni mfano mwingine wa ubaguzi katika muundo wa wakala huo.